JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi...
1 Reactions
15 Replies
736 Views
Tajiri hasalimii. Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo...
19 Reactions
107 Replies
4K Views
Wakuu salamu. Kwa muda wa zaidi ya miaka saba sasa nimekuwa nikisumbuliwa na mauzauza mwilini. Najisikia vitu vinatembeatembea mwilini na mwili unawaka moto, pengine kama vichomi na hivi...
2 Reactions
14 Replies
590 Views
Tunaanza na mimi MEKATANOKATOKA Haya twende kazi....lazima tukutane na matusi...
13 Reactions
90 Replies
3K Views
Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu...
3 Reactions
6 Replies
404 Views
Hata sijui nisemeje mnielewe.
20 Reactions
385 Replies
12K Views
Wakuu, Hivi hapa ndo unafanyaje? Unarudi kwenye gari au unakubali kuwa kitoweo?
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule. Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k...
4 Reactions
387 Replies
31K Views
Katika ulimwengu wetu wa kidijitali, chuki hujidhihirisha kwa njia ya matusi au kejeli, lakini pia hujificha kwenye emojis kama hizi: :mad::confused: 😠 👿 Watu wengine huonyesha chuki yao kimya...
-6 Reactions
49 Replies
1K Views
Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
5 Reactions
12 Replies
519 Views
Hivi imetokea siku ya harusi yako mpenzi wako wa zamani akaja kushuhudia harusi yako alafu ukapewa nafasi umchagulie nyimbo utamchagulia nyimbo gani? Ukizingatia watu kibao wapo eneo la...
0 Reactions
74 Replies
15K Views
Wakuu, Nimepata hamu sana ya kuikumbuka shule niliyosoma O Level na kumaliza mwaka 1993 Form Four. Hebu kama kuna mtu alisoma kipindi hicho tubadilishane mawazo; wakati huo Mkuu wa Shule...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote...
18 Reactions
78 Replies
2K Views
Haya sasa, Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku. Changamoto ya kuishi kwnye familia ya...
22 Reactions
295 Replies
15K Views
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya. Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe. Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera? Nyimbo unazozisikiliza on...
6 Reactions
109 Replies
3K Views
Habari wakuu Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby. Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free. Hobbies nazopenda Kusikiliza muziki...
11 Reactions
225 Replies
7K Views
To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock. To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my...
19 Reactions
385 Replies
9K Views
Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa. Aisee south kuna pisi za maana sana. Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
9 Reactions
122 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…