Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

Pindima

JF-Expert Member
Aug 16, 2011
347
81
Hivi imetokea siku ya harusi yako mpenzi
wako wa zamani akaja kushuhudia harusi
yako alafu ukapewa nafasi umchagulie
nyimbo utamchagulia nyimbo gani?
Ukizingatia watu kibao wapo eneo la
tukio. Ngoja nione nyimbo utakayo mchagulia.
 
Ulinidharau ukaniona si wa maana kwa uwezo wako, ukasahau wazuri wapo wengi sana wa zaidi yako.... Kitu Maneno ya Mkosaji (Leyla Rashid)
 
Hivi imetokea siku ya harusi yako mpenzi
wako wa zamani akaja kushuhudia harusi
yako alafu ukapewa nafasi umchagulie
nyimbo utamchagulia nyimbo gani?
Ukizingatia watu kibao wapo eneo la
tukio. Ngoja nione nyimbo utakayo mchagulia.
hii lazima itakua harusi ya kizaramo.
sa siku ya harusi yako unapewa nafasi ya kumchagulia x wako au mme/mmke wako
ulieowananae!!
 
Kama bado kulikuwa na kaupendo ntamuimbia ule wa Judy Bocher,hasa kipengele kinachosema
'I love youuuu,
But I can not be with you,
If, I could be in two places,at the same time........

LIKE

Sasa ikiwa kaupendo hakipo utamchagulia nyimbo ipi?
 
Back
Top Bottom