JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umewahi kukutana na mtu kwenye mitandao ya kijamii na mkafahamiana hapo na akakuomba uende kwake kumsalimia Wanaume tuna roho ngumu,Leo nimeamua kusafiri kwenda Dar kukutana na Dada ambaye...
11 Reactions
265 Replies
14K Views
Jana jioni wakati narudi Rock city ndani ya Air Tanzania(hapa kazi tu [emoji23]) nikapewa viburudisho mi nikaona mijuisi ile mizinguo tu nikaomba redwine nikapatiwa ya dodoma wine tukapewa na...
8 Reactions
83 Replies
5K Views
Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi katika mji wa Alexandria. Jeneza hilo lilikuwa limekaa kwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Nigeria mambo yakiwa magumu sana pilipili hupondwa kwenye kinu ikaangawa na mafuta ya mawese, hii ni mboga ya kulia wali, ugali au yam la kuchemsha. Baada ya hapo watoto wanapewa maji ya kunywa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ubaguzi ni kitu kibaya sana, Ubaguzi wa aina yoyote ile siyo mzuri: Iko hivi, majuzi nimeenda kwenye Super Market kununua baadhi ya mahitaji sasa wing niliyokuwepo mimi nikakutana na familia...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Dentist
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo kwenye daladala kuna mama alimwambia mwanafunzi ampishe mzee akae. Yule mwanafunzi badala ya kujibu kistaarabu labda mama nimechoka au nnitalipa nauli ya mtu mzima ila alichokifanya ni...
27 Reactions
273 Replies
15K Views
Fatuma Karume Jokate Mwegelo Mosha Kangi Lugola Jpm Ccm Chadema Katiba mpya Nec Chaputa Atheist Bashite
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchaga hata akiwa meneja wa benki ukimuuliza,mr Njau unafanya kazi gani atakujibu"nafanya kibarua pale nmb. sasa kutana na mhaya anayefanya kazi kwenye mashine ya kusaga mahindi,halafu muulize mr...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Ole wako uuze zaidi.... Tutakutana polisi post.... Ila ndio hivyo bei ya dola moja na Lita ya patrol havipishani sana..... Pengine mwakani tutafanya vice versa yani bei ya pombe iwe ndio ya wese...
16 Reactions
193 Replies
15K Views
Sabakheri Wadau; Kama Ushawah Kupata Ajali Mwaga Huku Tukio Lilikuwaje Na Ulipona Vp! NA Umshukuru Mungu! KWANGU MIMI; Ilikuwa 2012 Nikienda Kumuona Mzee Kondoa Dodoma! Tulipofika Kijiji Cha...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Nawapenda sana!
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi. Kichwa cha habari chajieleza. Sikh moja mshkaji alihamia MAENEO flan kikazi . akawa anatoka nyumban anatembea mpaka kazin kwake , na kurudi kama kawaida . sasa siku1 akawa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa alikamata mwizi jikoni kwake, sasa alipo taka kupiga kelele ya mwizi, yule mwizi akamwambia mwenye nyumba unakumbuka katika Biblia nilisema nitakuja kama mwizi Usiku? Ndo nimekuja mara ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Sina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie...
17 Reactions
275 Replies
13K Views
Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo. Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa. Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu...
17 Reactions
433 Replies
26K Views
Hodi hodi wadau na washikaji wangu hasa wale wenye uzalendo wa hali ya juu kwa taifa letu,nipo huru baada ya kuwa segerea sasa nipo tayari kuliendeleza gurudumu Cc: Salary Slip Cc: mcubic Cc...
29 Reactions
135 Replies
12K Views
Ukijibu nakupa Zawadi. Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipoulizwa analilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAREHEMU ni MJOMBA WANGU, JE MAITI NI NANI..?
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata??? Nimeishiwa na pozi...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Mimi huyu wakuitwa kikoozi sijawahi ona kaandika point.
2 Reactions
234 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…