mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Sabakheri Wadau;
Kama Ushawah Kupata Ajali Mwaga Huku Tukio Lilikuwaje Na Ulipona Vp! NA Umshukuru Mungu!
KWANGU MIMI;
Ilikuwa 2012 Nikienda Kumuona Mzee Kondoa Dodoma! Tulipofika Kijiji Cha Kielema Bas Ilikuwa Mwendokasi! Tairi La Mbele Likapasuka Hvyo Gar Ikapinduka Na Kuegemea Miti Huku Inaangalia Korongon! Ni Kitendo Cha Dakika 2 Tu! Kuna Mzee Alikuwa Siti Ya Mbele Yangu! Baada Ya Ajal Nikajikuta Nimempakata Kwenye Korido La Basi! Tena Analia Mbaya! Hakufa mtu Ila Mlango Ulizibwa Na Mit So Ikabid 2tokee Madirishan Na Kuletewa Bas Jingine! Sitosahau Kwan Ndo Ilikuwa Ajal Yangu Ya Kwanza!!
Funguka Na Wewe Nin Kilikupata?