JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi naanza na hawa mshana jr KABOBEA Jamii Photos Mussolin5 KABOBEA Sports GENTAMYCINE KABOBEA Habari na Hoja mchanganyiko hasa katika threads zake zile za kutisha ila za uwongo The bold KABOBEA...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu: Mshana Jr Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga...
28 Reactions
1K Replies
50K Views
Utotoni kulikuwa na mambo mengi tuliyokuwa tunaambiwa na wakubwa wetu lakini baada ya kukua, ndio tukaja kugundua ilikuwa ni uongo! Binafsi mimi nilikutana na haya; 1. Ukifukia soda ardhini...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
I would like to take this chance to wish the old friend and best sister of mine geniveros a happily and wonderful day of her life, on your way to celebrate this just know that..... Every one of...
16 Reactions
684 Replies
29K Views
Ni tukio LA asubuhi ya leo nilipopigiwa simu na jamaa angu alimaarufu kama kijana Kijana: Mambo vp bro Me: Pouwa tuu niambie kaka Kijana: aah shwar tuu kaka ,Mishe zinaendaje? Me: hvo hvo kaka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Enzi hizo hapo yani mi kwenye foleni hyo Sikai kabisa.....natumia ujanja ujanja mpka nachukua ugali wangu nasepa.... Kuna siku moja ilikua ni ya wali jumatano.....ile kuhangaika jamaa libabe LA...
2 Reactions
84 Replies
6K Views
habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale Moja kwa moja kwenye mada husika Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo...
15 Reactions
122 Replies
11K Views
Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa wako wapi wale wa enzi zile za LEO TUPO HAPA PUB wako wapi wale wa mastori mastori ya kutisha kama ya Mshanajr, Mentor (huyu kapotea mazima sijui ndo...
10 Reactions
168 Replies
7K Views
Hivi huwa mnamaanisha nini hilo neno isije kuwa mnatutukana Maana utasikia Nimetoka kumdamshi yule kibamia[emoji23][emoji23]
0 Reactions
46 Replies
12K Views
Maisha mapambano,kujiongeza ndiyo mpango. Katika kukabiliana na hii kutu ya vifunga mlango nimeamua kuanzisha kampuni ya kufanya kampeni. Nina uhakika wa tenda za kutosha kama mnavyoona hali...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za majukumu wapendwa. Ukimpata mdada akakuzungusha na mbunye yake na huku ameshakula sana vihela vyako bila mafanikio unayotaka usiumize kichwa kuwa na subira na pia jiandae kujipanga siku...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
hii video pamoja na nyimbo inayopigwa hapa inanikumbusha mbali sana. Karibuni tukumbushane matukio ya zamani wakuu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wtsp
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SISI KWETU ANAITWA MDALA, KIKWENU JE?
3 Reactions
254 Replies
16K Views
Eti baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani kutoa amri nikamatwe, Wazee wa Kigoma wametest mitambo kwenye mkutano wa CCM huko Buyungu ( utani huu bana, kimbunga ni jambo la sayansi sio utamaduni )...
12 Reactions
53 Replies
11K Views
Mchana nilitoa swali hapa wengi walijaribu ila hawakupatia ilivyotakiwa. Hivyo zawadi ya Gb za kuperuzi internet mwez mzima nabaki nazo mwenyewe. Qn1: Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kichwa chajieleza, taja tabia mbaya ulowahi kuifanya ulipokuwa mtoto especially tulokaa/kulia uswahilini , naanza na Mimi TABIA YA KUMZOMEA ASUBUHI MTOTO MWENZENU KAMA NI KIKOJOZI ok tiririka nawe...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatari sana hii!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Dada huyu anaependelea kutumia formation ya viungo watatu katikati( verasidika,aggy masogange na sanchoka) 4-3-3 kawanyima sana usingizi ma bazazi,mafisi na wake zetu hapa mtaani...akipita lazima...
22 Reactions
220 Replies
18K Views
Back
Top Bottom