JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwenye contact na huyu dada mfikishie salamu [emoji395] [emoji396] [emoji394] [emoji181] Asante [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nakumbuka siku moja nimekaa na bibi muda wa jioni tunabadilishana mawazo ya hapa na pale,katika zile stori tukaongelea kuhusu kuoa mwanamke na maisha baada ya kuoa ,akasema "Mjukuu wangu fanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dha sitokuja kusahau, kuna kipindi tulikua tumepanga sehem kulikua kuna wapagaji kawa 4 tulikua tuna share choo na bafu, kuna siku nilichelewa kulala nilikua naangalia movie usiku, mida kama saa 5...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Huu ni uzi wa kujibu hoja bila kuweka hitimisho,yaani kuiacha hoja hewani hewani,na itakuwa vizuri zaidi kama haitaeleweka. Zingatio : Chunga heshima za watu,tumia lugha nzuri na tusitiriane...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello maladies and gentlemen! Karibuni hapa tujuzane ladha uipendayo ya kilaji ukipendacho, na pia kupeana uzoefu wa ladha mpya ya vilaji! Yawezekana ukataja kilaji ukipendacho na mdau mwenzako...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Nadhani wengi mmewahi kusoma somo la sayansi mada ya uzalishaji kwa shule za msingi au Reproduction kwa secondary Wewe kama mwalimu wa somo husika wa darasa husika kuna mwanao yumo, Wewe mzazi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
208
Kudate na vitoto vya shule kazi sana ...Nimekuta text "baby naomba 208" baada ya kama nusu saa hivii ndo nikaja kuelewa alichomaanisha .. Eti "baby naomba tuonane"...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Naomba kila aseme atafanyaje kuchukua hizi pesa NYUMA YA HUO MLANGO KUNA DOLLAR BILLION 15.. UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUINGIA KWA KUPITIA HUO MLANGO... KAMA NDO WEWE UTAFANYAJE???? (...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Ni mwenye akili timamu ila najiuliza, mwanadamu huyu anawezaje kuflash choo kwa maji wakati yeye mwenyewe anaondoka bila kutawadha na akijaribu Sana anajifuta kwa tishu! Hii nii akili matope?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Italian Relationship: 1st day= Sex 2nd day= Sex again. French Relationship: 1st day = movies & kiss 2nd day = Sex 3rd day = Sex again British Relationship: 1 day= hangout & kiss 2nd day = kiss...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Humu jukwaani kulikuwa na mtu muhimu sana anaitwa masai dada sikuhizi simwoni... au simu yake imepandisha mori haiingii Jf? Mwenye taarifa zake atujuze.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya jumapili wakuu. Niende kwenye mada moja kwa moja Kuna mambo ambayo huwa najiuliza, pengine na wewe huwa unajiuliza lakini unakosa majibu au unapata majibu yasiyojitosheleza. Mambo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nawapenda,kila mmoja nitahakisha nawapitia kwa mda wake,mjiandae kisaikolojia
7 Reactions
252 Replies
11K Views
Ule utamu unaopishana kidogo na utamu wa papuchi umerudi sasa,siku za wkend hatutopatikana tena kirahisi. Game zinaanza ijumaa zinaisha jpili,nasisitiza ni ngumu kutupata kwa kipindi hichi
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hebu tafakari member waliokuwa maarufu kipindi hicho ila kwa sasa hawasikiki tena watu nane na faiza foxy ni kati ya member ambao hawapo kwa muda sasa hebu tutumie Uzi huu kuwakumbuka na wengine...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo. Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana. Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kijana mmoja ambaye ni mwendesha boda boda huko Kenya amejikuta katika mgogoro mkubwa na mke wake ambao umempelekea kulala nje Mwanamke huyo aliyemtangazia mbele ya umati wa watu waliokuwa...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom