JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za majukumu wakuu.. Bila kusahau kwamba leo ni Ijumaa nawakumbusha ibada kwa wale wenzangu nami. Rudi kwenye mada.. Kama inavojieleza hapo juu nawakaribisha sana. Sent using Jamii...
3 Reactions
254 Replies
28K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba humu ndani watu wanatumia majina fake, avator fake , na wengine hujiunga mara mbili mbili kama member mpya. Lakini pamoja na hayo, ukiwa mtaalamu wa lugha ya maandishi...
1 Reactions
15 Replies
934 Views
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi! Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua...
0 Reactions
2 Replies
523 Views
...sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi, Sehemu za siri za mwanaume ni laini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani...
7 Reactions
132 Replies
8K Views
Majungu, unafiki na kusengenyana na kusutana misibani, halafu mnazuga eti walokole. Badilikeni. NB Bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao.
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Jana nikiwa kwenye ofisi za kampuni za mabasi za Adventure na Saratoga jijini Mwanza niliona kituko cha kumalizia mwezi wa Julai, 2018 kutoka kwa kaka ambaye alijigamba kuwa ni mkurya na kweli...
18 Reactions
142 Replies
10K Views
Nimejaribu kujiuliza maswali haya nashindwa kupata majibu sahihi 1) akianza kukutongoza kama hamfahamiani,ukimuuliza vipi una mke ,mchumba au mpenzi Majibu: kama ana mke,"Alinizengua tukapigana...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Aisee hakuna kipimo kigumu cha utu Kama kupokea pesa kimakosaa... Wachache Sana hurudishaa pesa hizo kwa Muhusika Mimi nakumbuka nilikuwa Nipo kwenye Mitihani ya mwisho ya chuo mwaka Jana hapo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
1. Kiss Kwanini uombe mwanamke akukisi. Ni wajibu wake kukukis sasa kwanini unajilainisha lainisha.. Bebi naomba unikis huo ni ushamba. wajibu wake kukikis. Tabia zenu za kuomba omba kukisiwa...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi. 1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu. 2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu? Acha...
17 Reactions
345 Replies
14K Views
Kwenye kikosi hiki
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie...
2 Reactions
368 Replies
53K Views
Kuna mtu ambaye hajawahi kuongopa wajameni. Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Naombeni jibu uongo ni nini? Eti mapenzi bila uongo hayaendi? HAYAFANIKIWI. JAMANI KWANI UONGO NI NINI? Mrs...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Leo nimeamini wanawake wenye kazi wanadumu kwenye ndoa . Hawaombi ombi helaa hovyo kwa wanaume maana mishahara inawastiri. Wanawake wa kileo wasio na kazi ni pasua kichwaa si etiiii eeeh wanaume...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinachompa binadamu majuto moyoni mwake kama siku moja akakumbuka yote aliyoyafanya yalikuwa ni kuupoteza muda wake tu. Alitumia nguvu nyingi, aliacha vyote kwa ajili ya kitu kimoja...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…