Wadau kwema humu,
Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye ni mgonjwa. Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa, nikiwa nanunua...
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya...
Hodi humu jamani!!!
Msishangae kuja usiku wa manane.
Yamenifika hapaaaa!!!
Kila nikilala usingizi hauji.
Khaaa!!!!
Sasa leo mie ujio wangu nimekuja na jambo moja tu kuhusu baadhi ya wanaume wa...
Mara tu baada ya kupata/Kula chakula chako Lunch au dinner unapendelea kushushia na kinywaji gani?
Binafsi napendelea kuywa Pepsi au Coke ya Baridi kabisaa.
CC Zero IQ
1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi
2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini
3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja
4. Manesi, wauguzi na madaktari...
Wakuu wa MMU.
Jamaa yangu mmoja alikuwa na mpenzi wake pale chuo cha IFM alikuwa anampatia huduma zote na alikuwa anaamini siku mmoja atakuwa mke wake wa ndoa.
Lakini jamaa yangu akawa...
Je kitu gani cha kipumbavu zaidi ulichowahi kukifanya?
Binafsi kulala na mwanafunzi mwenzangu(Ke) wakati niko sec bwenini na kujisahau mpaka kukutwa Asubuhi yake na matroni,
Hakika nilichapika...
Kesho nitakuwa Kampala kwa saa 4 nikibalizi na kuangalia fursa nitatoka Bukoba saa 12:00 Asubuhi nitafika Kampala saa 4 Asubuhi nitakuwa nitaondoka saa 8 mchana kurudi Bukoba natumai saa 12 jioni...
Hivi ukikutana na Mtanzania Moputo, Msumbiji. Anakusimulia mkasa wake kuwa hana kazi, hana hela, anadaiwa kodi ya nyumba na ameamua kurudi nyumbani. Yeye ni Mwenyeji wa Kigoma.
Wewe unaendesha...
Mwanamke mzuri akipita sehemu lazima atongozwe haijalishi ameolewa au hajaolewa.akiwa TU mzuri akipita kwa kutembea Kutoka ubungo mpaka magomeni lazima asemeshwe zaidi ya Mara 15.kwa week mwanamke...
Hakuna Kitu ambacho nakijutia hasa kama pale mwaka 2015 nilipopoteza kabisa muda wangu na Kuhamia CCM huku nikikiacha Chama changu pendwa cha CHADEMA na Mgombea wake mzuri Edward Lowassa.
Hivyo...
Kenya wamezindua gari yao ya kwanza aina y PEUGEOT toka kiwandani!
SISI TUNAZINDUA sanamu la mgebuka[emoji23][emoji23]
*Tukutane Kigoma.*
Naipenda Sana Nchi Yangu .
Sent using Jamii Forums...