Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,756
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
 
Kuna demu nipo nae kitaa, nilitongoza akanikubalia muda huohuo, sasa wiki imepita sijapewa papuchi.

nazungushwa tu! Hii imekaaje wadau maana mi sijazoea kucheleweshewa tamu iyo.
 
naamini ujumbe ameupata na atakujibu muda si mrefu mkuu

It is well with my Soul!
 
Kuna demu nipo nae kitaa, nilitongoza akanikubalia muda huohuo, sasa wiki imepita sijapewa papuchi.

nazungushwa tu! Hii imekaaje wadau maana mi sijazoea kucheleweshewa tamu iyo.
Mwambie ulikuwa unamtania kama atatongozeka kirahisi.
 
Back
Top Bottom