JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
#UNAAMBIWA: Unafahamiana vizuri na Inzi Sio? Sasa kwa mujibu wa Utafiti wa Bar- Ilan University Nchini Israel Inzi hunywa pombe pale ambapo Wanapata Stress za kimapenzi😅😄 " Kama ilivyo...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Not,,furaha ya mbwa koko hua haidum mkimaliza ku bwekaaaa,tutawapa na maji mshushie kama hutaki bweka
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nimefurahi sana hawa jamaa wamepiga mzinga😀😀 Disney mjanja sana anataka yeye ndio abaki kua Tycoon wa kutengeneza na kusambaza filamu. Kila Kampuni ikijitokeza inatengeneza muvi...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wana JF Miaka inaenda na siku zinazidi kusogea. Miaka hiyo kabla redio hazijawa nyingi redio Tanzania ilikuwa ndo imepamba moto. Je, ni kipindi gani kilichokuvutia wakati huo ambacho...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Greerings Earthlings, Nimefanya research ndogo isiyo rasmi nikagundua haya First borns *Wachapakazi *Providers kwa familia (wakifanikiwa) *Wana exposure kubwa sana kwasababu wanajituma *Sio...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Kuna mwanandoa mmoja anasema "oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko" hakuna watu malaya kama waliooa, kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Labda mtu azikopi mwenyewe Au nizikute kwenye hiyo disk Au nizikilize radion Au zitumwe kwenye .agroup..... Yaani inshort ..sizielewagi tu... Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Maisha ya shule jamani! Nipo hostel room tupo wawili wawili jamani mwezangu hajui kununua ndala za kuogea.semister ilopita tumetumia zangu hadi zikakatika zilivyokatika akawa anaazim next room...
0 Reactions
9 Replies
882 Views
Uzi tayari
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Wakuu kuna imani eti popo akiingia ndani kwenu usiku na kuzunguka zunguka juu ya paa ni uchuro? Kuna jamaa nilienda kwao wiki mbili zilizopita popo akaingia akazunguka ndani kama dakika kumi...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Uliza swali lolote liwe la kiutani au linalohitaji kufikiri. Then anaweza kutokea mtu akalijibu kwa kina au kifupi.. Uliza chochote iwe kijamii,kiuchumi na kisiasa.. Ambalo unaliona hulielewi...
0 Reactions
228 Replies
13K Views
Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!? Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho. Na ya kutolea
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Hiki kitabu nilisoma mwaka 1986 Sisimba Shule ya Msingi. ilikuwaje sarasa la pili, Mwalimu Benard, mama yake Edmund ndiye alikuwa mwalimu wetu wa darasa, je wewe ulikuwa wapi uliposoma kitabu hiki?
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Tumezoea kipindi hicho Hili jiji kwa bata lilikuwa balaa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya Starehe Wajuba wanagongea Konyagi au K Vant tu. Unakuta Bapa moja linapigwa na watu zaidi ya watano...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Brother and sisters habari zenu nimeangalia baadhi ya watu maarufu nimeona wanavaa saa mkono wa kulia mfano Mzee Jakaya. Shafii Dauda. Afande mmoja JWTZ mwenye rank ya Major General kwa wajuzi wa...
0 Reactions
65 Replies
18K Views
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni...
9 Reactions
301 Replies
17K Views
Back
Top Bottom