JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr Upande wa manzi kuna Carleen na leo dada Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu. Wataje wengine🫵
19 Reactions
501 Replies
7K Views
Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole...
21 Reactions
193 Replies
5K Views
Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
2 Reactions
88 Replies
1K Views
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!! Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira...
9 Reactions
83 Replies
13K Views
Habari za wakati huu Bila kuchelewa nimerudi kuWASHUKURU KWA MAWAZO NA MICHANGO YENU KWENYE POST YANGU YA MWISHO, NILIPATA MWANGA NA NIKIRI TU HUU MWEZI WA PILI UMEKUWA MZURI KWANGU, KWANI KILA...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako. UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako Binti wa zamani uongo Mbaga Jr dronedrake Wazee WA kubeti nyetukeni
11 Reactions
26 Replies
928 Views
Tuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake...
2 Reactions
284 Replies
42K Views
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae? Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu? Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? ==== Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia...
7 Reactions
146 Replies
5K Views
Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara...
6 Reactions
99 Replies
1K Views
Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE - secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa...
11 Reactions
54 Replies
766 Views
Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
0 Reactions
7 Replies
187 Views
Leo Feb 1, tunauanza rasmi huu mwaka, January tuifute tu maana …………….. Niliowapotea ghafla huko maeneo mengine, miniwie radhi, misiba na changamoto za maisha zilnichanganya kidogo. Nipeni...
22 Reactions
270 Replies
3K Views
KUna wadada unaweza dhahania ni warembo, pisi ila mtaani ni wakawaida sana. Pia unaweza kufikiria ni wa kawaida ila Kumbe ni pisi sana. Mara nyingi ni mtu tuu unajikuta unaivutia picha fulani ID...
49 Reactions
2K Replies
53K Views
Asee dunia kubwa, Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went...
7 Reactions
42 Replies
617 Views
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi...
3 Reactions
28 Replies
534 Views
[emoji3] [emoji3] [emoji3] MKUKI KWA NGURUWE....... Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..." Mchungaji: "Mwanangu, usihofu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna watu mngekuwa ma-billion kwa mda wa masaa mawili tu wakija kwenye umalaya✓ ulevi✓ uchafu✓ uvutaji wa bangi✓ madawa ya kulevya✓
8 Reactions
31 Replies
329 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…