Hilo nimeona halina ubishi, wanaume wengi uingia kingi na kudhani kapata mwananke mrembo ama kupitia Badoo,Facebook ama instagram. Na hiyo ni kwa sababu ya picha lakin akikutana naye kituko
Tumbo...
Ujio wa smartphones imekuja kuua soko la Internet cafe.
Uber imekuja kuua soko la taxi driver
Mitandao ya kijamii imekuja kuua soko la magazeti
Iphones imeua soko la Nokia
Naanza na mimi...
Kwa wale wazee wenzangu tuliokulia kijijini,vitu vya kienyej tumepitia. Sasa we unahis kipi cha ukwel? Mie japo sio mhehe ila jamani 'ULANZI' mtamu. Yan kila unapopiga funda utamu unaongezeka huku...
Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni...
Hali ya Wanaume kugeuka pindi anapipita binti mwenye kutamanisha (hususan mavazi au maungio) imekuwa intrend sana hususan kwenye miji, baadhi hugeuka shingo ama hutumia njia mbadala ikiwemo hata...
Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason.
Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist
SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz...
Nyumbani ni sehemu ambayo katika jamii zetu ndio sehemu za kutukiliza akili,kufikria na kupanga mambo muhimu kuhusu maisha .
Kwa akili ya kawaida huwezi kujenga sehemu zote na nyumba...
Alpha, Beta, Delta, Gamma, Omega and Sigma
ALPHA: You are confident and your own man. you do your own thing and have complete confidence in everything you do. you have your self doubts, but you...
Ndugu zangu wana JF tumekuwa wote kwa mda Mrefu sana tukishare vitu mbalimbali
Nimefungua Account Twitter Kama familia ynagu ya JF Naomba mnifollow Mayunga234 Jina nalotumia JF ndilo nalotumia...
Sio mfuatiliaji wa tamthilia kabisa, sio kwa hapa nyumbani. Ila hii imenipa fundisho hili.
Sifahamu ni Nani mwingine ambaye atanufaika na haya lakini ninayo imani ya kuwa yupo hapa. Hivyo hiyo...
Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani.
Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani...
Wakuu The World Naked Bike Ride (WNBR) is an international, summer, clothing-optional cycling event that usually takes place in as many as 80 cities across 20 countries.
.
SAsa This year was no...
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kila binadamu hujiunga mtandao anaoupenda kwa wakati wake na sababu zake kuna wengine hujiunga mitandao...
Nilikuwa nikae mwezi lakini yamenishinda,kuoga kisimani kwenda haja kubwa au ndogo ni kwenye machaka unakuta hakuna chaka ni minazi mitupu ,usiku ukitaka kwenda haja ndio kindende.
Nimetaka...
WEWE NI NANI?
Kama mti uzaapo matunda basi ndio na sisi tunavyozaliwa.
Kuna matunda ambayo huotea chini na kuwa rahisi kuchumwa, haya hu represent wale watu waliobarikiwa kuzaliwa na...
Ukituliza akili ukaangalia maua, miti, mazao basi utagundua ina tabia tofauti ambazo zinavutia sana.
Mfano:
Lotus, hukua kwenye mazingira magumu sana ambayo usingetegemea kama kuna maua...
Kwa ulinzi wa Rais wa korea kaskazini bwana kiduku Leo tutajaribu kuzungumzia ukakamavu walionayo walinzi wake....
hawa mabwana naskia wanauwezo wa kukimbia na hii gari kwa maana ya kuwekea...
Habarini za mda huu ndugu zangu, kule Mbeya wilaya ya Kyela kata ya Ipinda kuna mwamba anatengeneza hii kifaa kwasabu nimeona nikasema nije kuwaeleza ndugu zangu ili badaye tusije laumiana kusema...