Labda Mimi BabaMorgan I'm too young to understand kumbe inawezekana mtu kutoka jijini Dar es salaam na kwenda Mwanza kutafuta mganga alafu huku mjini ameaga kuwa kaenda Mwanza kikazi.
Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier...
Habari za muda huu wanajamvi, hiki kitu muda mrefu nlikuwa najiuliza. Ina mana hata tukisema kuwa romantic ndo kujidekeza kulembua lembua bila sabab za msingi. Na kujikoroga na make up mezani...
Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika..
by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa...
Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako cha Wiki. Salio la intaneti ni MB 251.
Kujua salio lako lote tafadhali piga namba *102*01#. Asante!
Nacheka, ila huu ujumbe unakera sana...
Big up kwako mpishi wa hii beer pendwa. Tangu wiki hii wanywaji tumegundua kuna mabadiliko makubwa sana katika ladha. Ni nzuri na ni laini vizuri kabisa. Endeleeni hapo. Kuna kipindi ladha ilianza...
Ila ckuiz kuokota mgwanja Ni ishu Sana.Watu ckuiz si rahisi watembee na liquid cash mifukoni mwao, wanatumia E- wallets kuhifadhi hela zao.
Ila miaka ya nyuma kdgo ilikuwa rahisi Sana kwa mtu...
Kutokana na mizunguko yangu mikoa kadhaa hapa nchini nimebaini mambo ambayo wengi hawayajui.
Nianzie morogoro huko nilikuwa club moja inaitwa nyumbani pub.wadada wazuri sana,short time ni elfu...
Huu ni uzi wa kuelezea tu kuhusu mambo local yanayoonekana kuwa yana asilimia flani za ukweli.
1.Ukiwa unaenda safari kumuona mtu njiani ukakutana na mwanamke hakika mtu unaemfuata kumuona...