JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aise hebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungo muhimu sana katika mahusiano,. TAFUTA PESA. Sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji muhimu..
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello family,hope mko bye! Moja kwa moja kwenye uzi,kwa kifupi sana ndoto yenyewe ni kwamba JF ina utaratibu wa get together party kwa kila mwisho wa mwaka (December) kwa members wote wa JF na...
1 Reactions
4 Replies
626 Views
Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
4 Reactions
69 Replies
4K Views
hapo kosa lipo wapi?
2 Reactions
8 Replies
630 Views
Habari wakuu, Hapa nilipo nimejaa kitete siyo poa. Yaani hata sielewi, ingawa maamuzi niliyoyachukua nilishauriana na moyo wangu nikaridhika, lakini still nafsi inanisuta. Nimeuza kiwanja changu...
10 Reactions
116 Replies
4K Views
Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono...
2 Reactions
1 Replies
521 Views
Yaani leo hata sijui siku itaishaje na sijui kesho siku itaanzaje, maisha haya yasikieni tu. Sometimes mpaka nawaza kujitumbukiza baharini tu, bora iende. Dah!
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE)...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Leo chupi chupi nimeponea kudhalilika. Kwa kweli kwa sasa napitia kipindi cha changamoto kidogo ukizingatia kwamba shemeji yenu yeye ana support Russia na mimi nipo upande wa...
3 Reactions
0 Replies
604 Views
Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
3 Reactions
7 Replies
539 Views
x²+16x+15=0 what is the value of x
0 Reactions
13 Replies
864 Views
Daah wanaJF, natumai wazima Twende kwenye point Je, unakaa Dar? Je, ushwahii kupotea njia? Je, ushawahi kuibiwa? Siku moja hivi nilikuwa na furaha mno daaah nikapanda daladala kwenda nyumbani...
0 Reactions
12 Replies
752 Views
Aisee, kwangu hii ingekuwa sheria na wala siyo ombi, ukiukwaji wa sheria hii adhabu yake ingekuwa ni viboko vya kila rangi, ni mwendo wa bakora kwa kwenda mbele. Sheria ingekuwa ni kama...
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Wasalaam wanajukwaa, ningependa kufahamishwa ni kwa namna gani Kenge anavyoweza kumdhuru Binadamu, namna ya kumuepuka kama kuna yoyote anafahamu njia za kukabiliana na viumbe hawa kama...
2 Reactions
83 Replies
24K Views
Huyu ni mmoja kati ya wapenda V8 kaamua kuzikwa nalo!
2 Reactions
8 Replies
548 Views
Nauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana. Karibu PM
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Kwema? Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au...
30 Reactions
141 Replies
10K Views
Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
645 Views
Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa? Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee...
1 Reactions
13 Replies
679 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…