Wanawake kuna muda mnakua hamjielew nini hasa mnataka,na ifike mahala tumalize baadhi ya mijadala iloyokua inajirudia humu jukwaa la MMU,
Naomba mnyooshe maelezo apa kabla hatujavuka mwaka tujue...
Ewe msomaj wa JF naomba uniambie kati ya furaha na pesa kipi ni sababu ya kupatikana kwa mwenzake?
Kwa maana je, furaha ni sababu ya kupata pesa au pesa ni sababu ya kupata furaha?
Naomba...
Namshukuru Mungu Kwa uzima. Hii ilikuwa ni moja ya ndoto zangu siku nifanikiwe kufanya mapenzi na wanawake wote wa Familia moja pamoja na ndugu zao wote wa tumbo moja Jana nimefikia nusu ya haya...
Acha niwape vidonge vy kutuliz complain.
Raha nadekezwa
Raha na enjoy.
Kupendwa Raha.
_ssssss yan DUNIA nzima n yy 2 ata nkifa nizikw n picha yakee yeye[emoji35][emoji35]
Amin kuwa Mungu ndie kila kitu bila yeye, wewe usingelikuwa hapo
Mrudie muumba wako maana siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke ni chache na Zimejaa taabu ndani yake amini kila amwaminie...
Mmm kweli ukistaajabu ya Firauni utayaona ya Yuda kujinyonga.
Mambo mengi hutokea; kujali, kusalitiwa, chuki, wivu. Tazama mpezi unanipa furaha, mzuri wa Dunia nzima. Usiende mbali sana uwepo...
Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu...
Kuna kipindi fulani mida ya usiku nimelala, ghafla juu yangu nikaona nuru nyeupee imeniwakia na sauti ikaanza kuongea, huwezi amini ile lugha sikuielewa.
Siku nyingine nimewahi kulala mida saa...
Habari wakuu! Naimani mu wazima, kwa wenye changamoto, Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna hii tabia ya mtu anapokuwa baduni anaoga inakera sana! Yaani akiingia yeye...
Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.
Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.
Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri...
Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Kwa wale mnaopenda kusafiri kama mimi, nitajie stand/bus terminals zako bora ulizoziona.
Binafsi nimezipenda bus terminals za Kange -Tanga Mjini na...
Habari wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada, binafsi nilianza kuisikia JamiiForums 2012 na kipindi hicho simu zililokua zinasapoti internet nyingi ni OS, na JAVA phones japo android zilikuepo...
Wewe sitaki kuamini ni mpe moyo nife ye abaki. Sijui msikate tamaa 2 na kuomba kwa Mungu
Mimi niliachaga kupenda, hamna maana hapo, utaumia 2 ndugu.
By but khann
Naileta mada hii kwa heshima kuu ya Slim5 aliyeulizia kwenye uzi wa walevi kuwa wasio walevi wakachangie wapi.
Duniani hakuna mtu asiyekosa kilevi chake... Kilevi ni starehe na starehe ni hobby...
Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na...
Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza...