JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Suala la kuoa na kuolewa limekuwa gumzo na muda mwingine kuleta mtazamo tofauti katika jamii. Sio mara moja au mbili umesikia kuwa wachumba wameshindwa kuoana kwa sababu familia moja ya mwanamke...
1 Reactions
0 Replies
754 Views
Vipi mambo bado huko? mlioko jikoni mtujuze.
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Nchi hii ina vijana na watu wengine wa hovyo sana. Saivi kila mtu ni 'Mkuu'! For what?![emoji205] Mtu akipewa dili/ramani/offer/tip basi lazima amuite mtu MKUU! Asante Mkuu! Ndiyo Mkuu! Sawa...
1 Reactions
13 Replies
581 Views
Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekaa palee nasubiri mshahara utoke nimtumie mayele hela ya mafuta unbeaten kisha ninunue k vant bwaku nimekaa paleee wakuteseka acha wateseke. Kesho ndo nianze kulipa madeni ya watu je wewe...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
UTAFITI: Asilimia 70 ya vifo vya wanawake duniani vinatokanana ukatili wa majumbani. Usaliti katika mapenz fedha, chakula na hamu ya mapenzi vimetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kuwepo kwa...
0 Reactions
3 Replies
365 Views
Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Mwaka X bwana Jioni Mida ya Saa Moja na Nusu ivi Niko zangu kwenye harakati za apa na pale.Kidogo kojo likanibana. Nkaona kwenda toi nilipie mia2 jau wakati kuna uchochoro nakojoa Bure. Muhuni...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Majibu [emoji116]
1 Reactions
10 Replies
658 Views
Je, kati ya baiskeli mpya na iliyotumika ipi ni bora...?
1 Reactions
5 Replies
403 Views
Habari wakuu..... Hii iwe Ni Special Thread Ya Vita Ya Wanaume Wa Dar Na Wanaume Wa Mikoan Hapa tupigane vijembe tusemezane Na Utani mwingi kira mtu Atete upande wake kwa Hoja, Vijembe...
1 Reactions
86 Replies
10K Views
Kwema wadau? Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini? USSR
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jana nimeingia pande za dance club sijaona hata mtu ambaye anazungusha round kila mtu kabia kimoja tu, nikawanajisemea mwenyewe kweli hali tete. Basi nikaagiza mchemsho mbili na round mbili za...
2 Reactions
5 Replies
617 Views
Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia. Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
1 Reactions
5 Replies
644 Views
Kila mtu huwa anaota na inawezekana kuna wakati mtu unaeza pitisha siku kadhaa hujaota, unalala muda fulani na kushangaa paap, ushaamka. Sema sasa kwa kweli kuna ndoto zingine ni uongo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike? Karibuni. Uzi tayari.
2 Reactions
8 Replies
543 Views
Gone are the days I used to hit the bottle like you. My untold addiction hardly made me push through. Been through sleepless nights and restless days, with nothing to do. Painful mockery from...
2 Reactions
1 Replies
470 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…