Bora Ungenyamaza tu mkuu.Plate number ni kitu gan wewe mataga? aka utopolo!!!!!
Inaitwa number plate sawa?? Chakubanga aka chawa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, wenye madungu jeshi ya ukweli hawana time na hii mambo ya kupiga picha na magari..Wengi wao wanapiga picha na magari ya watu. Kuepuka fedheha ya kuumbuliwa wanaficha namba.
Wenye magari yao hasa ni nadra kupozi na hayo magari kwa ajili ya picha.
Wale wazee wakuazima sasa, utaona kapost 'dar foleni' kimkono kipo kwenye steering huku hajui hata bei ya tairi ya hilo gari.
Wengine wanaazima wapigie picha tu, so wanaogopa watu wanaweza ingiza hizo namba kwenye mfumo wa TRA na wakaona mmiliki halali.Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini?
USSR
Wee TAGA vipi? Tangu Jiwe na genge lake kuwapokonya watu magari yao inawalazimu wasiweke NP kwasababu ya Trauma ambayo bado wanayo.Sababu huwa nini na umuhimu wa kuficha ninini?
USSR
khaaaah.Wengi wao wanapiga picha na magari ya watu. Kuepuka fedheha ya kuumbuliwa wanaficha namba.
Wenye magari yao hasa ni nadra kupozi na hayo magari kwa ajili ya picha.
Wale wazee wakuazima sasa, utaona kapost 'dar foleni' kimkono kipo kwenye steering huku hajui hata bei ya tairi ya hilo gari.