2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje.
Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza...
Samia nimeona nikujibu huku mama.
Asante ujumbe wako nimepata, familia yangu imefurahi sana nimewasea ujumbe. Nachukua nafasi hii mimi na familia yangu kukutakia heri ya mwaka mpya pia karibu...
Jamani naweka booking, katika muda huo.
Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023.
Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar...
Mungu wao anataka waabudu wakoloni kama Mungu, wakati ni shetani tu atakaye kuabudiwa kama Mungu, na ni marafuku kutaka kufanya hivyo amri ya Mungu wa kweli yasema. Bonge la movie ya kichekesho ya...
Baada ya kufika Karagwe na kukaribishwa na warembo, leo nilimtembelea mzee mmoja ili kuchota busara zake maana mimi ni mkazi mpya.
Ushauri wake ulifanya niamini kuwa yule ni kijana wa hovyo aliye...
Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.
Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu...
Wote tunajua jinsi wanawake wanapenda kusifiwa, lakini katika harakati zangu za kusaka maisha huku na kule nimegundua wanaume wengi wanapenda sifa zaidi, tena wakati mwingne wanatafuta sifa kwa...
Hei, vipi!!?? Mungu atapaa chini lini wenye hayo maluelue na kumsuburi wapae naye mbinguni na kuwalisha duniani kimiujiza bila kufanya kazi, WAKATI MUNGU WA KWELI ANASEMA, ASIYEFANYA KAZI NA...
😁
1. Haji Manara
2. Haji Manara
3. Haji Manara
4. Haji Marana
5. Haji Manara
6.Mwijaku
7.Baba Levo
8. H.Baba
9. Aristote
10. Lokole
Hawachawa wanasifia mpaka wanakera, Kwa nini siku hizi kuwa...
Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi...
Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila...