JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
I am planning to buy a private jet. Who's owning one in the country, Diamond or a famous political dude?:D
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama mwanachama wa vijana wa hovyo naomba kuwasilisha ombi kwa wakatisha tiketi, wawe wanatupanga kwa kuzingatia Gender Balance. Safari zinakuwa ndefu sana ukiangalia back bencherz ni Girls tupu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Naantombe Mushi,General Galadudu
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna siku asubuhi, nilisikia mtoto alimuliza mama yake "Mama tunaenda wapi, mbona hatujaoga?" Wewe umesikia/kuona nini?
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda kuwashukuru wote ambao tulikua wote mwaka 2022 na sasa ni mwaka 2023. [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Hivi ni kipi kifanyacho January iwe ya Moto hivi ni sikukuu zilizougana au shule na muhula mpya wa masomo???
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Hawa wachina wakija kwenye miradi kama barabara,ujenzi na mambo mengine.mbwa wanapotea sana tena walio nona ndio dili. Na vimbwa vyangu kama sungura kila siku jamaa ananifata nimuuzie na huyu...
2 Reactions
10 Replies
750 Views
Za jioni Hao watu nimewainulia mikono hii location ipo muhimbili unacho fanya unalipia 20000 kama kiingilio tu af unakula mpka unasaza. Hii special kwa wala bata yaani kama wewe unapenda nyama...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wajuba tuliowahi kwenda kwa nabii flora Sala Sala tujuane. Kuna wakati katika harakati za kiimani nikajikuta kwa huyu dada pale Sala sale Mbezi, wakati huo watu kumwona unapanga foleni kubwa!
4 Reactions
48 Replies
4K Views
NMB
Mastabata kotekote ndio mchongo wa kijanja, tumia NMB Mastarcard kufanya malipo na ujishindie pesa taslimu, pikipiki au safari ya Dubai...
1 Reactions
7 Replies
561 Views
Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza. Hapi nu yia
15 Reactions
234 Replies
6K Views
Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
0 Reactions
8 Replies
621 Views
Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya. Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Kwenye maisha bhana ukweli ni kwamba hakuna mtu anayejua script au scene ya maisha ya mtu. Tuheshimiane siku ziende.
2 Reactions
4 Replies
500 Views
Heri ya mwaka mpya 2016 wanaCC.... Kichwa cha habari chahusika saana..... Ukipita hapa naomba uitike ili tupate kufahamu uwepo wako wewe member wa CC katika mwaka huu wa 2016... Ni jambo la...
9 Reactions
122 Replies
9K Views
Wakuu, kheri ya mwaka mpya. Upande wangu mambo hayapo sawa, ni siku ya kwanza ya mwaka lakini tayari nimeshajichanganya. Nijipange tu upya kwa mwaka 2024 maana mwaka huu ndio basi tena.
2 Reactions
11 Replies
969 Views
Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Ndo kwanza bado tarehe 2 ila tumeanza kusikilizia maumivu ya huu mwezi unaoitwa NJAANUARY. Kuna jamaa yangu anasema afadhali wale wasio na pesa siku zote washazoea ugumu wa life ila kama umezoea...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Nakuleza jirani,ndugu,rafiki na jamaa kwamba january ndio hii na jina la mtu pia. Tujifunze kubakisha akiba ya january .simu sishaanza sasa
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…