JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye. Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga...
17 Reactions
127 Replies
5K Views
Mabaharia wengi waliozamia au waliokuwa na harakati za kuzamia meli miaka ya nyuma wanakumbuka changamoto za kupanda meli na kutorokea nje ya nchi. Wagiriki ndio nchi iliyokuwa na meli nyingi...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Muda huu niko hapa nakunywa nimechelewa kufika sasa nimepaki gari langu nyuma ya magari ya vyombo vingine vya usafiri. Kuna jamaa yuko anafoka anataka...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
wanyamwanga ni kabila linalo linalopatkana ktk wilaya ya mboz na pia nch jilan zambia.wanakawaida ya kusafiri makundmakund kwenda kutembelea ndg wa mbali na hukaa hata mwez mzm.bac jamaa walienda...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Jana nilikula kavaluu kadogo. Kama kawa nikashashusia za kienyeji baadae nikasakafia na balimi tatu. Nimerudi home saa tano nipo matingasi. Sijasikia malue wala ndoto za ajabu za majinamizi na...
2 Reactions
2 Replies
549 Views
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo. Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa upande wangu kuna huyu jamaa anaitwa Mnyonya Mbususu Jina lake na comments zake zinaendana sana. Mwingine DeepPond huyu jamaa nikiona tu comment yake picha za ngono zinaanza sambaa...
15 Reactions
189 Replies
8K Views
Jamani sijui mimi nipoje, sina mpango kabisa wa kupokea simu ikinipongeza eti nimeshinda. Yaani kucheza nicheze mimi alafu watanzania wajulishwe eti nimeshinda. So, habari ndo hiyo! Kama leo...
0 Reactions
6 Replies
507 Views
Seriously waungwana tupeane kampani kama umeboreka Kama mie
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Mungu tunusuru wanaume tumebaki wachache sana, foleni kubwa ya wadada wanasubiri na kuweka odder za chips Yai na kuku ghafla unakuta likidume lipo katikati ya wanawake na lenyewe linasubili chipsi...
21 Reactions
151 Replies
5K Views
Za mchana wapendwa Nivumilieni sijui kuandika hila tutaelewana kwangu nahishi na dada wa kazi kwasababu na watoto wadada zangu ambao nakaa nao hapa sasa huyu dada sikuiz amekuwa na vituko...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
!!!
2 Reactions
11 Replies
753 Views
William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Guys ase kuna mwizi hapa kwangu anazunguka nimejaribu kumfokea amenijia juu eti ananiambia tulia wewe mtoto wakiume uku anajaribu kufungua mlango nifanyeje na simu haina sms wala dakiki in bando...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Ni rafiki uako yupi hujui alieda wapi na huwa unam-miss sana na unatamani itokee siku mkutane tena? Mtaje labda na yeye yupo humu na atakusikia[emoji7] Mimi naanza na Fatma Ahmed Tamim, nilisoma...
1 Reactions
10 Replies
648 Views
Ndugu wana Chit-Chat, Tangu nimeijua dunia sijawahi kuvaa vazi la suti, hua naona watu tu wamevaa. Inasemekana ni vazi rasmi kwa shughuli maalum kama harusi. Mimi zangu ni: chini sandoz, suruali...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Inakuwaje wanajamvi! She is back. Nimeona amelike comment yangu flani. Kwa muda sana alipotea jamvini tukashikwa na wasiwasi. Welcome back Wangari Maathai. Wengine nao siku hizi wamepotea hearly...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo...
1 Reactions
70 Replies
90K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…