Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MsemajiUkweli, Aug 15, 2012.

 1. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,569
  Likes Received: 11,156
  Trophy Points: 280
  ​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo? au ni vyote kwa pamoja?

  Tafadhali changia kama una mchango chanya.
  REMEMBER:
  It's better to be silent and thought a fool than to speak and remove all doubt.
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,475
  Likes Received: 2,951
  Trophy Points: 280
  makabila yote kuna warembo na wasio warembo...kwetu sisi wachaga, kuna wanawake warembo sana, na wengine pia wana sura za simba yaani juu wanene chini wembamba...ukienda kwa wasukuma wengine wazuri wengine wanawake wenye sura za kiume...etc....kila kabila kuna wanawake wazuri na wabaya...wairaq/wambuli etc, waarusha etc pia kuna wazuri na wabaya...
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  wewe unawaza ma kabila mpaka leo duh
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,104
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Msisahau wagogo na wahaya, halafu unatumia vigezo gani Mafology au sura na ungesema ww unapenda rangi gani nikuwekee na warangi, MREMBO NI MKEO ANAYEWEZA KUKUPA KILA KITU
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,310
  Likes Received: 13,657
  Trophy Points: 280
  Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.

  Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,498
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  wamakonde tu
   
 7. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uzuri......
  kabila......?????
  sura..............????
  umbo.......??????


  mpita njia mie...................
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  21 Century ? Khaa!
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Uzuri,
  Urembo,
  Utanashaji,
  Ulimbwende ,
  Uko kunako macho ya mtazamaji .
  Nikionacho mie kirembo kwako wewe chaweza kua bogus au chakas! Na kinyume chake, kirembo kwako kwangu kikawa kituko!
   
 10. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,569
  Likes Received: 11,156
  Trophy Points: 280
  Niko kwenye utafiti kielimu
   
 11. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,569
  Likes Received: 11,156
  Trophy Points: 280
  Je, ni kipi ukionacho kilembo kati ya makabila ya kitanzania ili unisaidie katika utafiti wangu kielimu
   
 12. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,170
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  warangi na wairaq
   
 13. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,569
  Likes Received: 11,156
  Trophy Points: 280
  Hilo kabila liko katika Mkoa upi Tanzania
   
 14. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,170
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  hahahaa Mikoa ya Manyara (Mbulu) na Arusha (Karatu).
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,482
  Likes Received: 15,708
  Trophy Points: 280
  Naona waburushi ndio wanaongoza kwa uzuri thats why wanaoana ndugu kwa ndugu
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Mi mgeni hapa...
   
 17. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wanapenda kula vitunguu haaoo..!hmm..
   
 18. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kitu point5 ya kimbulu na kihaya..
  Yan makabila yote kuna warembo,hasa wakimix
   
 19. a

  adolay JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 6,929
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Urembo kama ni kwa maana ya kuvutia macho ni mtazamo mtu binafsi panaweza kuonekana bora kwa mtazamo wa wengi lakin mmoja mmoja ukiwadadisi pemben utagundua tofauti, that is why people said kipendacho ni roho ya mtu, kwa sababu kila mtu anayake na hakuna two or more similar hearts that exists.
   
 20. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 28,719
  Likes Received: 7,855
  Trophy Points: 280
  Wachagga.kwisha!
   
Loading...