Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak.
Penye hela nyingi hapaharibiki neno, kuna mshkaji wangu mmoja hiv ametusua bwana, sasa siku ya Jana Ijumaa alinipa mualiko kwenye Hafla...
Chukua mdudu aitwaye CHANDE mchome kisha mtwange na ungawake uweke kwenye kiganja
Nenda kwa demu umtakaye na umpulizie. Hapo umeuwa kabisa mtongoze au mvute geto.
Nb: Hii njia niliambiwa na...
Habari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum.
Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu...
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA...
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.π
Sio maneno yangu alisikika...
Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii".
Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili.
Kuna kipande Fulani yesu akiwa na...
Shukrani za dhati kwa Mwenyekiti cha wasiliti bwana Yuda kutuletea pasaka.
Na kuanzisha mtindo wa usaliti.leo tuna mayuda wengi duniani kila Kona.
Tumebakisha siku chache tumkumbuke Yuda maana...
Yaani unakuta mtalii tena mgeni yuko mbugani na mikamera yake alafu akikuta mnyama anaekula mnyama mwenzake kama fisi simba au chui anataka kula mnyama badala ya kumsaidia huyo mnyama anaeliwa...
Kwa wale wenzangu na mie ambao siku haiwezi kupita hasa kipindi hiki cha joto bila kushusha kinywaji baridiii hebu tukutane hapa tupeane mikakati na mbinu za kuendelea ku enjoy hiki kinywaji...
Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna.
Bei...