JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha. Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu...
67 Reactions
243 Replies
30K Views
Malawi haijawahi kupatwa na majanga makubwa ya kipindipindu na vimbunga ambavyo vinaleta maafa makubwa. Lakini jamaa alivyopelekwa tu kutuwakilisha vikatokea. Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa...
1 Reactions
2 Replies
392 Views
Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hodi humu japo nimeshaingia tayari, naomba mnipokee Bantu lady hapa. Najiunga nanyi wana chit-chat. Natanguliza shukurani.
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Yale mashindano ya kumtafuta Miss Chitchat 2012 ndio hayo yameanza rasmi. Pasipo kupoteza muda wako, hakikisha kura yako inaenda kwa charminglady WanaJF marafiki wa familia ya watu8 na...
4 Reactions
88 Replies
6K Views
Starehe gani unaifanya ukiwa peke yako na unaifurahia?✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
1 Reactions
9 Replies
875 Views
There is an intense rivalry among women for the best men.
1 Reactions
6 Replies
378 Views
Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
6 Reactions
182 Replies
9K Views
Inasemekana gari ni la IT. IT wazee wa mwendo wenu tunaujua. Any way poleni. Mshana Jr Extrovert RRONDO Ova
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimepata verification badge leo Tujuane verified members
5 Reactions
11 Replies
591 Views
Una maisha magumu kama mfupa lakini huchoki kuhonga kwanini?
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wasalaam wana JF Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?
1 Reactions
21 Replies
1K Views
You American think every one want to f**k you😅😅
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na...
12 Reactions
396 Replies
54K Views
1. Maji ya Mochwari ( hasa yatokee Temeke Hospital au Amana ) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF. Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu. Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mambo, Nisehemu gani mzuri ya kwenda kupunguza mawazo jamani? Una amka vizuri lakini mapenzi yana kuvuluga, khaa!
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Dolly Parton - Coat Of Many Colors. Back through the years I go wanderin' once again Back to the seasons of my youth I recall a box of rags that someone gave us And how my momma put the rags to...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…