JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wazee wanasema "Meno anayotumia mbwa kucheza na wewe ndio hayo hayo yatakayo tumika kukuuma utakapo mkanyaga mkia". Waweza kuumizwa na mtu ambaye unampenda mnoo mpaka ukashangaa na kujiuliza hivi...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni...
4 Reactions
0 Replies
546 Views
Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu. Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema. Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari...
2 Reactions
8 Replies
874 Views
Haya ndiyo mawazo yangu siku ambayo nitajipata. 1. Siku nikijipata nitahakikisha bi mkubwa namfuta ule moshi na moto wa kutengeneza pombe kali, huku akikimbizana na polisi na mamlaka za serikali...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Inakuaje mtu unafungulia muziki au mahubiri kwenye gari ya daladalatena kwa sauti kubwa. Kwani nani kasema anataka kusikiliza unachosikiliza si ununue Earphone.
1 Reactions
4 Replies
473 Views
Wanawae wanautani sana mfano Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana Wanawake anaweza...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wazee wanasema, "Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya." Mti unaota bila mpango unaweza ukawa dhaifu kwasababu ya matawi mengi! Ni vizuri kukubali kukosolewa! Wala usitengeneze uadui...
2 Reactions
0 Replies
347 Views
Siku moja nilikwenda Gairo kununua mahindi.Kwa kuwa ulikuwa ni msimu wa mavuno nilikosa nafasi katika nyumba za wageni ila nilibahatika kukaribishwa na mwenyeji mmoja nyumbani kwake nijipumzishe...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mithali 3:5-6 Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...
2 Reactions
6 Replies
865 Views
Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Huu wimbo unaimbwa bar walevi hawaangalii unamaana gani. Utasikia .....''kula bia kula bia."
1 Reactions
3 Replies
738 Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipeni muelekeo nataka nifike Temeke Sokota kwa dada zangu wale, nasikia tu ila sipajui aisee.. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukipita ukasikia mtu anaongea.. "Niki renew lani hela atakua hajaitoa bado"? Hapo ujue imeenda hio na huyo mtu hio.
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…