Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba...
2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana.
Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu.
Binafsi...
Hello,
Leo birthday yangu wajameni, karibuni kwangu.
Namshukuru Mungu kuruhusu nije duniani, lakini pia kunifikisha usiku ya Leo.
Asante mama luckyline, kunileta duniani siku kama ya Leo...
Nikupongeze tu Bwashee Erythrocyte kwa namna unavyoturipotia yanayoendelea hapo Mbeya
BAVICHA wote wanawatenga Dr. Slaa na Mwabukusi kwa sababu walihama CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015...
wazungu walipagawa, majaji hawakukaa kwenye viti muda wote walikuwa wanashangilia..shukrani kwa mtaalamu wa subtitle maana alisaidia sana kuitafsiri movie hii kali iliyoileta kwa heshima taifa la Tz
Habarini Wanajukwaa.
Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali...
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisaa
Kama uliwahi soma kisa cha ukweli ,iwe kinahusu mapenzi harakat za maisha, matukio mbali mbali ya kihistoria
Just share with us
Na sisi...
1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo?
Mtoto: Lakini mama......
Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea?
2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia...
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali...
1. Lack of capital
2. Poor government system
3. Lack of skilled labor
4. Dependance of import goods
5. Poor contract agreement between investors and the government
6. Extreme corruption among the...