JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari ndugu zangu, Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana...
23 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto Haya...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
2 Reactions
4 Replies
964 Views
Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa. Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa...
1 Reactions
4 Replies
684 Views
Habari, Kidogo mm humu ni mgeni, ila katka ugeni wangu kuna watu huwa naona wako serious kwenye swala la ku dislike yaani wao hiyo ndo kazi yao kubwa Kwa kweli sijajua kwamba hawa watu wana...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !!
0 Reactions
7 Replies
779 Views
Habari Wakuu, Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Ndiyo mnaongoza kuharibu majina ya wachezaji,Feisal Salum Abdalah mkamuita Feitoto mkaona haitoshi sasa Baraka Mpenja anamuita Feisal Failasufi.👉badilikeni acheni ulimbukeni usiyo na tija.
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Nimekutana na hii paragraph hapo chini kumbe maeneo mengine ukikaa ni kwamba haupo dar, 😆😆 je wengine mpo wapi.
4 Reactions
24 Replies
949 Views
Natumai mko poa Wakuu, Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea...
11 Reactions
203 Replies
7K Views
Haya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita. Vipi huko ishasoma?
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Tucheze na vyote ila siyo Mapenzi. Na Mapenzi hayaangalii uko katika Siasa au Ulichukiwa Ofisini katika Kampuni au una Nuksi tu ya Kutokukubalika kwa Wanadamu kutokana na kuwa Tajiri sana...
1 Reactions
1 Replies
399 Views
Mwagona. Ujio wa matoleo ya iPhone kwa Tanzania huwa ni msiba mkubwa hasa Wazazi Wanaume na makaka. Kwani hicho ndo huwa visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu. Tujiandae kusikia...
16 Reactions
147 Replies
10K Views
Jamani hamjambo? Love is a beautiful thing. Mama pretty nimezama penzini. Baby wangu upo humu. I love you so much😘😘😘
20 Reactions
244 Replies
12K Views
Maisha bwana! Acha tu.
15 Reactions
31 Replies
2K Views
Aliyewahi pitia hii kadhia ananielewa bila shaka. Usikuni mwema
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wanaJF Mimi natamani kuwa maarufu humu au niwe super star waJF kama akina mwafulani Sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?! Nipeni mbinu wakuu
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…