Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo...
Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada...
Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika...
Huu uzi ni kwa ajili ya kusema yale ya moyoni, yaani kusema yale ya kweli kabisa.
Binadamu tumeumbwa kwa hali tofauti na vipawa tofauti hasa katika suala la kujadiliana mada za kielimu yaani...
Siku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?
Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama...
Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea...
Wakuu,
Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi?
Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo.
Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active.
Wanaomfahamu...
Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi
Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea...
MAJINA YA GIRLS/WOMEN NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI
1.Nancy - Muongo
2.Julieth - Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza...
Mambo vipi wanachit chat.Bila shaka mko Salama.
Kupitia Uzi huu hebu tueleze ukweli ni jukwaa gani ukiingia JF lazima liwe la kwanza kuperuzi??.
Naanza na Mimi mwenyewe .Binafsi kuna vitu huwa...
Habari wana MMU je, wewe mwanaume wa JF ni mwanamke gani wa JF ungependa kukutana naye hivyo hivyo kwa mwanamke ni mwanaume gani wa JF ungetamani kukutana naye?
Nawasalimu kwa jina la katiba mpya#Mbowe siyo gaidi.
Huu ni uzi wa memes kali.Screenshot memes kali then uzitupie kwenye uzi huu ili tufurahi pamoja lkn,tuendelee kumuombea Mh.Mbowe kwa kuwa yupo...
Nimeshangaa kuona kuna watu wana likes zaidi ya laki na nikashangaa wengine hawana hata likes 20 hawana na ukute account ina miaka 10.
Sasa mimi ni wakuja humu, najua Kuna wenyewe ombi langu...
Habari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye...