Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na bodi ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo
i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na...
Nyepesi nyepesi nilizopenyezewa mishale hii zinaeleza kuwa Bishanga amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Buseresere akisumbuliwa na kifaduro. Pia, nyepesi hizo zimeongeza kuwa hali yake ni mbaya...
Wakuu nimepata udaku wa matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwa wana chit chat walioko safarini Tanga,nimemtafuta TANMO ili arushe bombani hajapatikana hadi sasa, TANMO popote...
Ndugu zangu wapendwa wa jf nawatakia heri ya mwaka mpya 2013. Mwaka huu uwe wa upendo jamani tupendane tuungane ili tusogeze hili gurudumu la maisha kwa amani. Nawatakia wa tanzania wote na east...
Ndugu wana JF mie lengo langu kujua chuo bora hapa Tanzania kwan nina mpango wa kijiunga nacho mwakani..unaweza kuchanganua kikozi pia.... lakin nataka sana biashara, sheria na utawala
A certain man from ukweren was in U.S.A, n' saw one building with no power, He asked 'I thought there is no mgawo in the U.S.A? One guy replied "it is the tanzanian Embassy"
Kuna jamaa mwenzenu nimekaa nae mtu mzima anajiongeleshaaa
af mtu mzima
anasema sema siri zake na mke wake
anajisifu sifu anafikiri mi namuona mjanja
kumbe ananiboa niko busy nachart
hebu...
A young boy and a girl of the same age went to the bathroom to have a bath. When they both took off their clothes, the girl looked at the boy and said'
"Can I touch it?" Asked the girl
"No way --...
John had just learned his abc's and was very scared of doing them in front of the class. The teacher, though, told him that the best way to conquer his fears would be to just go ahead and do it...
Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu. Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa
ushauri na upembuzi zaidi. Kwa nini serikali ama...
Ukweli nikuwa naye humu JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa ninaye 2013 ila sijui tabia...
Hapa tunakatakata madebe,na kupasha moto madufu.
Ikifika mda kutembeza mitaa yote ya huku kwetu migomigo.
Kama upo karibu dondosha eneo lako tukuletee mpaka uwanjani umuone amu anavyosakata...
hadi nimetoka Tanga, hakuna aliyeweza kunitambua achilia mbali kunitazama kwa macho ya samaki na Paka.
Mshindwe midume nyie wachoyo wa mali zenu.
Happy New Year, bora niwasamehe bure