Kumbe alizua kizaazaa pale alipoingia katika moja ya hotel za nchini humo! kama kawaida kwenye hotel kubwa lazima upewe menu ambayo ina kila k2 kinachopatikana katika hotel hiyo. Kumbe mwenze2...
Ni m(wa)kaka)/m(wa)baba gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura (ya kiume lakini. . .FORGET about pretty boys) na...
Kuna kitu kinaendelea idodomia. Ni wiki ya azaki inayoandaliwa na FCS. Mashirika yasiyo ya kiserikali ya kitaifa na kimataifa yanakutana kwenye hii event.
Kama mpaka hapo hujaelewa basi jua Uzi...
Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo...
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui...
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.
Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.
Mimi...
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?
Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa...
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile.
Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu.
Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma.
Kiongozi anaposimama jukwaani katu...
Wadau hamjamboni nyote?
Naandika na kuuliza haya siyo nakashfu ila ndiyo ukweli unaonishangaza sana
Ni nadra sana kuona mtu mzima au mtoto maeneo ya Masaki, Oysterbay au Mikocheni akiingiza...
Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...