Tanzania and Nigeria, two prominent countries in Africa, share numerous similarities in their legal frameworks due to their colonial histories and subsequent legal evolutions. Both countries have...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Maisha ya binadamu yapo kwenye msingi wa vitu vitatu.
Kula, Kunya na Kujamiana
Na vyote hivi vitatu vinawezeshwa kikamilifu na pesa.
Tutafuteni pesa asee.
Yaani na ndevu zangu na ukubwa huu lakini bado nikichukia naanza kulia, mfano juzi kati kuna mtu alinisingizia kitu ambacho sikufanya nikajikuta tu naanza kulia mbele za watu, baada ya kulia...
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za...
Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala...
Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha.
Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa...
Nigerian guy living in Sweden smartly
married a Swedish lady, so as to be
legally certified with resident permit, but
the lady was not aware of this.
He lied to the lady that he is from Kenya...
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.
Uongo wangu kwa siku ya Leo
1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu.
2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili...
Tunda hataki mazoea kabisa na vijitu vya ajabu ajabu, na amedhihirisha hilo kwa kumtamkia maneno makali kwa aliyekuwa mpenzi wake Casto Dickson kwamba akome kumfuatilia na ajue kuachwa sio kila...
Nakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria...
Kitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa
Mchongo wowote wa kukupa kipato halali
Then baada ya hayo...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Nipo safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha na basi la BM T817 DY. Safari inaonekana kuwa ya kawaida sana, maana hapa nimekaa na bibi mtu mzima ambaye amelala...