Nina muda kidogo sijaingia jukwaa dume hili, majukumu na kukosa muda, muniwie radhi wanachama waandamizi.
Nimekua kidogo, hata muziki ninaoupenda umebadilika na leo nimewaletea kibao...
Nimekutana na falsa yao moja iliyonishawishi KUAMINI kuwa mikataba iliyosainiwa juzi HAPA TANZANIA ni katika kuitekeleza hiyo falsa yao. Inasema hivi,...................................invest in...
1.Naskia una sura mbaya mpaka
ukijiangalia kwenye kioo kinaandika
''please wait''
2.Dada zako ni wabaya hadi
mmeweka
tangazo getinieti oa mmoja upate
wa pili
bure
3.Wewe ni mweusi hadi...
jamani dar es salaaam ndo inasifika kuwa na mawali nazi wengi,hasa mitaa ya manyanya,msisiri,mwananyamal keko yote hii nayo km hamjaelewa wale man wanaosaidia kazi za night za wadada...utakutana...
Habari zenu wapendwa wa CC.
Nimekuwa najiuliza mara kadhaa hivi ukipata kashifa/tuhuma ziwe za kweli ama za uongo ziwe nzuri ama mbaya unatakiwa kufanya nini.?
Nikafikiria sana mpaka nikaingia...
Ghaai mwathani nmediscover that nime2mia 4000 000ksh since i bought a safaricm line you can chek uas by dialing *141*50*070566854# how i wsh ningesave ninunue gari!
Kuna jamaa mmoja alipata ajali na kupelekwa hosi macho yake mawili yakaaribka na ikamlazmu abadilishiwe kafka pale daktari kamwambia macho ambayo yamebaki ni ya paka dah jamaa alikubali...
Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi. Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?" Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza kututazama...
2kutane pale msasan club wagumu wenzangu wa jf hasa chit chat katika show ya hiphop leo had mkesha... Copy kwa wagumu wote jf wakiongozwa na bishanga na bujibuji
Guys...!
Babu hakujua kuwa leo ni Good Friday!.....So he did it by mistake.
Hata hivyo, kwani kongoro ni nyama?......Eti?.....!
Babu anawatakia PASAKA njema!
Babu loves you all.....!
A boy goes to his mother one day with a puzzled look on his face. "Say Mom, why is my bigger brother named Mighty Storm"?
"Because he was conceived during a mighty storm", she said.
Then he...
Napenda kukukaribisha kwenye pati ya WASUKUMA itakayofanyika trh 31/3/13 saa 2:30 ucku mlimani city, Kutakuwa na vyakula vya Asili km, nkalango. Ngagani, kubita, lunani,
>Shihele
>Magukulu...
Safari ilikuwa bomba sana ila muda ulikuwa kiduchu nikaonana face to face na mwana JF mmoja maeneo ya maktaba kuna bustani nzuri saaaana.
Shukran zimwendee huyu mwana jf Mwanyasi akiwa mkanjuni...
S.L.P 488400 DSM 24/03/2013.Ndg,YAH: OMBI LA KUKUTEMBELEA PASSAKA Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni wa karibu na ni Mtanzania halisi.NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE YA...