JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hivi boss akifutwa kazi chawa anakuwa na neno gani la kumpa kutoka kwenye tajiri huna baya, ukifa huozi, tutajenga sanamu lako point X kituo kinachofata huwa na wapi wananzengo
2 Reactions
12 Replies
551 Views
50 cent,Nas,P Diddy.P Diddy anasema kuoa ni kujibebesha majukumu makubwa yasiyo ya lazima. kwa hapa bongo ambao hawajaoa ni Jay mo,ana miaka 41,mchizi moxie,Nikki mbishi [emoji23],p funk...
8 Reactions
219 Replies
23K Views
I)Kama Kuna wi-fi ii)Hubadilishi nguo za kazi iii)kuna breakfast asubuhi Taja sifa zingine za kazi
1 Reactions
2 Replies
329 Views
Au nasema uwongo ndugu Zangu? Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris...
5 Reactions
18 Replies
954 Views
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi. Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na...
10 Reactions
8 Replies
906 Views
Wadau draft ilo apo wenye uzoefu hiyo king ya blue inaoption ya kula kete tatu izo au inauwezo wa kula izo mbili limenichanganya kwa kweli
2 Reactions
10 Replies
689 Views
Habarini wapendwa. Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana. Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa...
11 Reactions
141 Replies
7K Views
Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje? Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Wadau eti ilo draft lina option ngap za kula kwa kutumia iyo king ya blue Je nilazima kula kete zote izo tatu au Kuna option nyingine ya kula kete izo mbili
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki...
3 Reactions
4 Replies
500 Views
Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
......... Utampata pale ulipopaki gari yako! Msituchoshe.
3 Reactions
9 Replies
348 Views
Hellow Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwalimu gani enzi hizo ukiwa shule alikufanya ukaipenda shule au somo fulani? Mtaje hapa
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Hadithi ya kuvutia sana Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri. Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza. Mteja...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Mfano : Mimi ndiye niliweka mchanga kwenye firigisi za kuku.
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…