JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
naomba kumjua naona ana trend sana na why ijiite chioma
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
2 Reactions
8 Replies
579 Views
Kadri tatizo la afya ya akili linavyoongezeka, na wachekeshaji nao wanaongezeka.
4 Reactions
5 Replies
438 Views
  • Poll Poll
Ni nchi gani kati ya hizi unazotamani sana kwenda kutembea au kuishi ungekuwa na uwezo?
1 Reactions
16 Replies
569 Views
Nipo bongoland nchi ya Nyerere mkoa wa Morogoro palipojaliwa miradi miwili mikubwa reli ya SGR na Nyerere dam only kama vitakamilika nipo msamvu kijiwe kipya naona kinaitwa Starpark Msamvu ila...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Mtaani kuna mambo kwelikweli, kwawale marais wa kitaa hyo ni wizara yao pendwa sana.
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Ukipita mitaani utakuta wanamjadili P Didy. Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui . Je, mmesoma makala ngapi? Je, mnaweza hata kusikiliza interview ya...
4 Reactions
15 Replies
571 Views
Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss. Mfano huyu wa...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Time Is really moving ni kama siku zinaenda kasi ajabu ndani ya miezi 3 2015 itakua miaka 10 iliyopita. Wa 1985. ni 40yrs. Wa 1990 ni 35yrs.
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Mungu, Urusi, Wanawake, Israeli; na, Kifo.
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Kabla haijaja internent hii michezo watu wengi walikuwa wanacheza https://youtu.be/Enwz8NgCCHw?si=Vg-4_geq9vYziWk0 kama hii
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakati nipo kwa matembezi yangu jioni hii kwenda kutafuta chimbo la kumaliza week. Nimeokota calculator kubwa halina vibonyezeo kwa mbele lakini ukibonyeza vitufe vya pembeni linawaka na kuandika...
6 Reactions
6 Replies
526 Views
Kusimama kunachosha kwakweli😄
8 Reactions
15 Replies
758 Views
Toka jana usiku saa 4 mpaka muda huu bado anakoroma tu na hajanigusa hata unywele. Nimetoka asubuhi na gari yake nimeenda church nimerudi yeye hajui chochote. Na ndio jana tumeanza mahusiano...
4 Reactions
13 Replies
523 Views
Sio vizuri Kumnyoshea mwenzako kidole. Kumtaja kwamba Yeye ndiye mbaya. Sio vizuri wapendwa. Acha Kuwanyoshea wengine kidole. Yawezekana wewe Ndiye mbaya kuliko huyo Umnyosheaye kidole. Muwe na...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu. Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi...
13 Reactions
91 Replies
3K Views
Wakuu kutokana na hulka yangu adimu ndani ya JF ambayo haifanani na wengi wa waliowazoea huko wanakotokea member wengi wa JF wamekuwa waking'ang'ania kunivua nguo ili kuthibitisha jinsia yangu...
6 Reactions
18 Replies
762 Views
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule...
3 Reactions
21 Replies
868 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…