JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale mafundi wa kusaka pesa waje hapa
5 Reactions
13 Replies
712 Views
Je ni kweli kuwa kwa sasa hapa tanzania, watu wanakula mende?
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Mama wa kambooo Mbona wanitesaaa Kaaa pekeakooo Koma kunipigaaaa Mbali na weweeee Wembe wa kuchaaa Chakula kitamuuu... Endelea............
1 Reactions
11 Replies
337 Views
Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika Juzi wazee nilishikwa...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
19 Reactions
73 Replies
2K Views
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!! Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
35 Reactions
301 Replies
20K Views
Minaona.... Shida sio kuacha pombe...🤨 Shida ni..... Hiyo pombe tunamuachia nani...🤔
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande?? Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
2 Reactions
5 Replies
440 Views
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi. Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3. Cha ajabu na kushangaza...
1 Reactions
4 Replies
440 Views
Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi. Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa". Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
1 Reactions
10 Replies
568 Views
Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya...
2 Reactions
18 Replies
649 Views
USICHANGANYE urafiki na kampani kuna tofauti kubwa kati ya upole na tunafanyaje! 🤔
2 Reactions
0 Replies
198 Views
1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo. Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha. Na hapo alipo mtoto...
3 Reactions
13 Replies
761 Views
Ukitanua paja ni dalili ya kutaka kujamba utakamatwa kwa kosa la kutaka kujamba ili kukuzuia usifanye kosa ilo utakamatwa na kuambiwa ulikamatwa kwa kosa la kuonesha viashiria vya kutaka...
2 Reactions
4 Replies
580 Views
HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE...... Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi .... Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko...
2 Reactions
3 Replies
483 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…