JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa? Moja kwa moja kwenye mada Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Hawa watu wamenifanya nipende mpira sana Namba saba ya realmadrid Na rephanie Camivag
2 Reactions
4 Replies
390 Views
Nilikuwa KING MSWATI IV enzi zangu, naomba sana kama kuna aliye na mwanangu anipe sasa. Nimejadiliana na mke wangu Lady doctor tumeona tuko tayari kuanzisha ALCC. (Arushaone-Lady doctor Children...
17 Reactions
603 Replies
32K Views
Kwakweli huwa nacheka sana maana thread za huku ndani inaonekana kila mtu mambo safi, anadrive, ananyumba, ofisi safi, anaenda nje mara kwa mara, je sisi tuliopanga na tuna baiskeli tu Tuendelee...
15 Reactions
172 Replies
11K Views
Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina. Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua...
3 Reactions
8 Replies
525 Views
Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
18 Reactions
229 Replies
4K Views
Huyu member anae jua id yake mpya anipe pm nimemkumbuka sana sijui nini kilimfanya apotee hapa jamvini
1 Reactions
17 Replies
550 Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni waungwana
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Naomba kuuliza hivi nyie wengine mnawezaje kunywa kulewa halafu hampigani ngumi? Mbona mimi siwezi!!
17 Reactions
108 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anataka kuchati nami karibu,leo silali
0 Reactions
27 Replies
997 Views
Ramadhan Kareem. Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini. Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk. Mshana Jr...
85 Reactions
377 Replies
19K Views
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
4 Reactions
8 Replies
474 Views
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani. Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Niongeze nini?iwe mlo kamili Karibuni
15 Reactions
71 Replies
2K Views
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki.. Kipindi cha mimba...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Rais 2. Wabunge Majimbo yatakuwa majukwaa ya JF. Tutapendekeza majina. Hakuna kuhusisha vyama. Tunaweza chagua mwenyekiti wa kuongoza uchaguzi.. kimsingi sisi wengine tupate uongozi angalau...
5 Reactions
15 Replies
756 Views
Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy Kasie Dr Lizzy Depal dada yangu Jadda Kalpana Unique...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula. Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao...
16 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…