JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jamaa aliharibikiwa na gari kijijini akapewa hifadhi,baada ya kuoga na kula.MZEE:"sasa huyu mgeni alale wapi?" MKE: "saa hizi ni usiku akalale na bebi tu!"jamaa akakwepa usumbufu wa bebi kukojoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti Rais Mpya wa TFF anaitwa Jamani Mainzi na wewe chakachua .........................
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekumbuka sana jamaa alipokua anamuigizia prof lipumba mara baada ya uchaguzi wa igunga ........... " ukisoma kitabu cha pamela na kipini, ukasoma kitabu cha mzee tola anakula gizani, ukasoma...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Rasta alienda kumgongea Msela Geto ili walale,kugonga akaulizwa:We nani? Akajibu:Rasta Farrai,Jah bless King of Haile Sellasie,Jah man Gwan Man bum bum peace&Love forever nigga. Msela...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
jamaa kashtakiwa kwa kosa la kumpiga mke wake hakimu: kwanini ulimpiga mke wako na stuli? jamaa: kwasababu nilishindwa kunyanyua meza...
4 Reactions
26 Replies
7K Views
Kweli ualimu ni kazi: MWALIMU:Tunga sentensi kwa kutumia neno "TUMAINI" MWANAFUNZI:"tumaini twa kuku tutamu kuliko tumaini twa mbuzi" Nakutakia usiku mwema
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee mwenye wimbo unaoimbwa kwenye My Heart Beats For Lola wa Teamo Teamo anisaidie. Nataka nimdedicate shemeji/wifi yenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dar
jiji pekee katika ramni yake inaonyesha kuna eneo kwaajili y
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana CC!!!!!!! Napenda kuwataarifu kuwa mwenzetu Arushaone ni mgonjwa anasumbuliwa na Pneumonia, kusema ukweli tangu juzi hakuwa katika hali nzuri kiafya japo tulikuwa tukishirikiana nae...
12 Reactions
215 Replies
16K Views
Kaka Yangu ana Mke............... ukikipatia utapata zawadi ya tiketi ya daladala............
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwanza ndiyo asili yangu.. nitakuwa huko leo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hamjambo marafiki Jamani sijajisikia kuwafurahisha wala kuwachekesha hapa bali niko serious kabisa tena sana natafuta mtu wa jinsia yoyote sichagui wala sibagui ila awe mwembamba kiasi chake na...
0 Reactions
121 Replies
8K Views
Jamani msijiulize nimekuwa teja wa nini! Acheni niwaambieni nimekuwa teja wa Jf kitambo nilikuwa sijaonja ladha ya Jf kwa sasa imenikolea kabisa hata
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HABARINI MARAFIKI ZANGU ukitaka kufurahi furahi kwa raha zako ukitaka kujiachia jiachie kwa raha zako ukitaka kujiunganisha ki:A S soccer: jiunganishe bestito ukitaka kujikataa jikatae kimpango...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA MATAMSHI HAYA KUTOKA KWA ABIRIA 1) Nitakupa. 2) Atakupa mbele. 3) Hujapewa mbele? 4) Utapewa nyuma. 5) Nitakupa nikikaa vizuri. 6) Ngoja isimame...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Wish you a very happy birthday Mzee wa Rula May life lead you 2 great happiness success and hope that all your wishes comes true! enjoy your day CC Arushaone, Blaki Womani, Preta marejesho...
9 Reactions
50 Replies
7K Views
it's September 26 again which means I am another year older!!!!!!!!!!HAPPY BIRTHDAY ME....... Namshukuru mungu kwa kufikia siku ya leo...,I feel so good to be around my family and Friends most...
28 Reactions
124 Replies
9K Views
Kitendawili tega nikutege? Ni mnyama gani anaye lia au kutowa Sauiti kwa kupiga makelele? Jibu lake chaguwa moja kati ya haya 4 (1) n'gombe? (2) punda? (3) farasi? ( 4) fisi?
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Kudadadeki mapedeshee wa humu mnatuonea sana sisi wanyonge, kila vimwana wazuri mnao ninyi tu kisa mnamwaga pesa na kuhonga vitz na rava four,,,,,,,,,sasa kabla sijaibuka na kimwana matata humu...
4 Reactions
116 Replies
7K Views
Utasikia naitwa peter van parsie george Mara hadija ozil mwajuma Nawaza tu siku ukisikia kuwa hilo jina kumbe huyu ni shoga itakuwaje
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…