JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aisee huku Mbezi nitahama. Kwanza hamna viwanja vya maana ipo Mbezi Luxury tu na swimming pool yake. Jana nimeenda Tabata yani utafikiri sijui uko wapi. *****.DJ anajua kazi yake. Pazuri mnooooo...
18 Reactions
115 Replies
8K Views
wengine wametukana na hawajapewa ban wanapeta tu......this is not fair!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Julius Nyerere, Nelson Mandela and Zumaville Scandal - Gado
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majani duniani kuna majina mengi mpaka mengine unaogopa kuyataja mbele za umati wa watu kama tuntufye, nkundwe, angeposya, mwakatobe, tulinagwe.......kama mengne wayajua ebu tililika hapa watu...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Wana chit chat wa Rock city naomba nipatiwe ruhusa yakuingia kwenu asubuhi ya tarehe 26/3/2014.
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Habhari zenyu binafsi???? Nimewamissjeeeee jukwaa hiliiiiii.... Nauliza hifiii, hivi kwenye Ndege (flight) huwa kuna umemba??? Mfano kwenye mabasi au daladala huwa kuna umemba, devera wa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara..... Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara. Msichana: Napika vizuri kuliko wewe...
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Baada ya mwezi mmoja wa kazi mama mwenye nyumba akamweka chini housegirl ili kutathmini utendaji wa kazi, kumfunda na kisha mshahara Mama: Utendaji wako wa kazi ni mzuri, ila usijekuwa kama...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuna mzee alikuwa ameowa mke wa kijijini,walipofika mjini siku ya kwanza ya kusex na yule mwanamke yule mwanamke aligundua kuwa mumewe anajinsia mbili hivyo akaona aombe talaka mapema Jamaa kuona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna meli moja ilikuwa imebeba abiria wengi wa mataifa mbalimbali , wakiwa njiani meli ilizidiwa uzito ikabidi kila mmoja apunguze mizigo yake Akaanza mzungu akatupa computer yake akasema kwetu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Mwadela Watu bhana kila kukicha wao wanasubiri moto huwake ndo waone mambo yako flesh hawawezi kujiongoza na kujifanyia vile watakavyo, wanabaki kuwa tegemezi tu wao hata kama wanapitia hali...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nilijikuta nikiwa mahuta kipindi hiko nikiwa na umri wa miaka minne tu marehemu mama yangu akiwa mwl wa shule ya msingi MAHUTA.Nikasoma chekechea ROMA MAHUTA nikaanzaa darasa la kwanza shule ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mie nashangaa mkisema Dunia ni kijiji!!! Nakataaa!!! Kama Dunia ni kijiji iweje NDEGE ipotee kijijini siku ya 5 leo haijaonekana?????
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wanajf nimebahatika kuingia katika BUNGE LA KATIBA, haya ndiyo tuliyoazimia: 1. Nauli ya kwenda S. Africa iwe bure kwani ni mteremko 2. Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwezi sukuma mwezi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtoto Mdogo Anaitwa Mchanga. Na Mtu mzima Atakuwa Cement. Wewe Kwa Umri aliofikia kingunge na hayati bi kidude, mandela nk. Utakuwa Zege?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna kulala hadi ule kwanza
0 Reactions
19 Replies
4K Views
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO GIZMOTECH STORE LIMITED® GIZMOTECH STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!! We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana sijapenda uvaaji wa akina dada wenzangu hasa katika kumbi za starehe usiku. hapa chini ni moja ya picha nimeibamba Jana sehemu sehemu Wadau mnamaoni gani?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…