Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Mwadela
Watu bhana kila kukicha wao wanasubiri moto huwake ndo waone mambo yako flesh
hawawezi kujiongoza na kujifanyia vile watakavyo, wanabaki kuwa tegemezi tu
wao hata kama wanapitia hali hovyo watabaki kujifariji pasipo kuchukua hatua ya:flypig:
wanashindwa kuelewa wako wakati gani wa kujitoa wao wanasubiri moto tuu
ukoleee ilihali ushakolea tena umeshaanza kutoa cheche za kuashiria :A S 465:
sasa unbaki unashangaa mpaka mto unazimika na wala hilo pishi halijakolea kabisa
unabaki kuduwaa wakati wenzako washawasha mkaa na mto ushapamba na
wanaona pishi likichemka huku moshi wa harua ukitoka ndani.
Rafiki kuwa mjanga usisubiri moto uwake ndo uone pishi kama limekolea nazi au la.
angalia usije :A S 13: ni hayo tu.
BUJIKU NG'WAKA