JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
UTANI wakati mwingine MAJANGA: angali athari za utan, jamaa Alikuwa amekaa BAR: Akiitazama Bia yake Kwa Zaidi Ya DAKIKA 20, Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua BIA Akanywa Yote! Jamaa Akaanza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nakumbuka niliwakusanya darasa zima kisha nikawaambia mwalimu mkuu anawaita, watu wakaenda nikawafata darasa la pili na la tatu wote wakajazana nje ya ofisi, mwalimu mkuu alivyowaona...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Umbea tu, mijitu mizima mnafatilia mambo yasiyowahusu! Kwenda mkalime, pambaf....
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwalimu wa lugha ya kiingereza kaingia darasani na kuuliza swali; Teacher: This season arsenal will win trophies. Which tense is that? Class: Future impossible tense. Kilichofata bakora darasa zima.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wasichana ambao hawajaolewa .......... ........... Please come PM So we make new friendship
0 Reactions
11 Replies
986 Views
Usimlaumu Adam na Eva/Hawa kwa kosa walilofanya...wewe mwenyewe umeshindwa kuvumilia kutofungua.... Good morning mamas and papas
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni m-Mwera wa Lindi lakini usiniulize maswali kuhusu Wamwera naogopa nisije nikakudanganya! Kama ilivyo kwa vijana wengi wa leo, I know very little almost to nothing about Mwera tribe...
1 Reactions
0 Replies
9K Views
Habari ya hapa wapenzi! nikaribisheni basiiii
0 Reactions
24 Replies
2K Views
hey guys,how are you all of you out there,this is your new friend member of jamiiforums from Rwanda. love you all
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kanga zetu uswazi
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Maisha tu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dearest in the Lord, I am Mrs. Elena Habissa, a widow suffering from long time illness (Cancer). I am married to Mr. Joshua H. Habissa, who died in a motor accident. We were married for Eighteen...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have. Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs. Mtafsiri: Sawa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
BIBI HATARI WA KUPINGA.. Kuna bibi m1 alienda benk kufungua account bt alivyofka benk akawa anataka aonane na manager kwanza.... Customer service wakamzuia wakidai boss yupo busy hataki kuonana na...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Amani kwenu wana jamii.mimi ni mdau mkubwa wa whatsap ila napenda kujua hizi video tunazopata katika whatsap zinapatikana katika site ipi na mimi iwe rahisi kuzipata kwa urahisi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa wana JF wote from singa,kama uko kwa FB please naomba tufahamiane! wa mkoa wetu tuwe na positive relationship kwa manufaa yetu! au sio?,waweza niadd kwa jina la Shafii Mussa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
movie mpya from the great and the most famous artist kutoka korea mkali Song ll Guk a.k.a JUMONG ameingia upya sokoni na kitu kikali THE BODY GUARD movie ambayo imetouch hisia za wengi,if u wanna...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Leo naishika tama, nikijikuna kichwani, Dunia sasa zahama, imejaa hamkani , Sungura kaila nyama, akayawacha majani, Shangaa nikushangae, watushangae malenga. Mwiko kukoroga chai, mwenzenu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Namimi nimewapata wangu leo. 1 aprl
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wapendwa....................... Aisee mimi nina swali hii siku ya wajinga duniani malengo yake ni nini? je inalengo la kupunguza ujinga au kuongeza vifo vya watu kwa presha...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…