JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pinda na Steven wasira et nani handsome?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi mtu anapotumia Manukato (Pafyumu) huwa anataka watu wamuhisi ananukia vizuri Au yeye mwenyewe ajihisi ananukia?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfano: 1. Unauliza ndefu uarabuni!!! 2. Unauliza maandamano CDM!!! 3. Unauliza makofi polisi!!! 4. Unauliza paka wakati mkia unauona!!! 5. Unauliza ufisadi CCM!!! 6. Unauliza...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Nini maana ya methali hii? Hakuna kupiga chabo. Zawadi nono kwa atakayetoa jibu zuri zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam sana wana CC wote; Nimefanya utafiti wa kina kuhusu tangazo la Judgement la kusudio la kupata mwenzi huku mjengoni na kabla hajatoa hitimisho Judgement akatoweka mazima. Kabla ya lile...
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Duh! Wezi wamekwapua taulo nilitundika kwenye mlango wa bafu la uswahilini. Yanga ndio wezi wa mataulo RUDISHENI HARAKA!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fanyeni chap mabinti mliopo tayari kabla hazijaisha.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mtihan wa terminal 1. Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__ (a)ta (b)te (c)ti (d)to (e)tu 2. Aliyefanya Tanganyka iwe huru ni Nyere__ (a)ra (b)re (c)ri (d)ro (e)ru. 3...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hapo ulipo upo na shughuli gani na upo sehemu gani umevaliaje nikipishana na wewe naweza nikakujua?mi nipo mbezi napanda gari narudi nyumbani manzeseee nimevalia jeans na shat red chini raba...
0 Reactions
107 Replies
8K Views
buku kumi isha katikaaa ndiyo kwanza saa nne asubuhi...dah
0 Reactions
17 Replies
1K Views
hadithi yakusikitisha ya kichina 朣楢琴执㝧执瑩浻牡楧㩮㔱硰执㝧执獧浻牡&#26983...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mjerumani alipanda na mswahili lifti kuelekea ghorofa za juu jengo la ghorofa nyingi, akamuuliza mswahili apate kujua Mjerumani : Hivi ni kweli mtanzania ukimuuliza swali naye anakuuliza swali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwakuwa baada ya kujitakasa kwa maji safi, ile anavuka tu kizingiti cha mlango mbwa akalamba miguu yake..!
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hey vp hizo post
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikos cha mourhino cha.leo 1 Ngorika 2 nganga coach 3 air msae 4 mbeya ecpress 5 metro 6 otawa 7 super feo 8 summry 9 new force 10 dar express 11 happy nation kaz imeisha hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA: Kuvuliwa Cheo cha UBABU wa Mtambuzi Rejea kichwa cha habari hapo juu; Kamati ya wanajamvi na wanaushirika wa MMU na CC umeonelea ukae na kujadili mambo muhimu hususani hili suala la...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
UGOMVI MTAANI Mume anampiga mkewe. Mke: usinipige mume wangu utaniua..! Jirani: mke hapigwi jiran..! Mke: mwambie na wewe labda atakuelewa jirani..! Mume: sasa anafanywa nini kama hapigwi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
,ni inbox na namba za vocha za tigo ya buku tu na namba ya simu yako nikutwangie upate mchongo huu ukajilie bata,kama huamini google peponi tanga uone mambo,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hebu wazia; wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni 200 baada ya majambaz kukimbizwa na polisi na kuzidondosha. Ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako mil 5 tu, zingine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MGONJWA.Doctor leo nimemtukana sana boyfriend wangu .DAKTARI:Kwa nini MGONJWA:Kuna siku alikuja akaanza kunishika shika DAKTARI:Kama hivi(huku akimpapasa) MGONJWA:ndio Daktari.DAKTARI:Baada ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…