JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu ! JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali. Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka...
22 Reactions
93 Replies
3K Views
Si ajitokeze mdada mmoja wa dar aje anipikie pikie
1 Reactions
1 Replies
286 Views
Imeripotiwa kuwa wanachama mbalimbali ambao Dr.JF amewadaiagnoz na ugonjwa wa adikshen ya JF walikuwa katika wakati mgumu wikiend hii wakitafuta shughuli mbadala nje ya JF, pale ambapo JF haikuwa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Heshima kwenu jamvini... Nisije kijana wenu nikawa nazitafuta kwa speed ndogo, hivi jamani watu wanatolea wapi pesa!? Yaan mara huyu anajenga ghorofa, huyu ananunua gari kufuru, huyu anawachapia...
5 Reactions
11 Replies
703 Views
Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu! Kama mjuavyo dunia inabadilika. Na Uwepo wa JF ni moja ya vithibitisho hivyo kuwa Dunia ya sasa imebadilika. Hatujuani kutokana na wengi kutumia Anonymous ID lakini...
32 Reactions
173 Replies
10K Views
Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo? Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani...
2 Reactions
5 Replies
392 Views
Mrembo huyu amewavutia wengi baada ya kunaswa barabarani na kamera akienda kwenye Mitikasi yake, akiwa kwenye pikipiki yake.
2 Reactions
4 Replies
615 Views
Source: 1st openly gay Episcopal bishop to divorce husband - US news NEW YORK (AP) — The first openly gay Episcopal bishop, who became a symbol for gay rights far beyond the church while...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Nina elimu ya Masters. 2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK. 3. Nina watoto 3. 4. Mke mzuri. 5. Mpare kwa kabila. 6. Naipenda Israel na Urusi. 7. Najua kutumia silaha za moto...
19 Reactions
100 Replies
4K Views
Habari wanajamvi! Kondomu si bidhaa ngeni kwa mwanaume mchezaji wa game za 6 kwa 6 anaejali afya yake. Sasa linapokuja suala la kwenda kununua ni mambo gani huyazingatia? Mimi yangu ni...
2 Reactions
6 Replies
346 Views
Last time huyu member alikua anasema ana changamoto za kiafya, tumezoea hua anakua active sana ila sa ivi naona kama account yake inakua dormant... Huyu member Yuko wapi Analyse
4 Reactions
2 Replies
458 Views
Haiwezekani waliochaguliwa wote ni wale wabaya wenye sura za karafuu na maumbo ya pilipili manga. Halafu warembo halisi wenye sura na uzuri wa asili kama mie Mshangazi na miss Gf tukawekwa kapu...
9 Reactions
20 Replies
754 Views
NAOMBA KUULIZA JE UNAWEZA KUCHEZA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2019 KWENYE IPHONE 11🙏🏽
2 Reactions
6 Replies
304 Views
Binafsi nimewahi kutembea umbali takribani kilometer 100. Ilikuwa ni safari ya kwenda na kurudi na ilinigharimu siku moja ya kwenda na siku ya pili ya kurudi. ilikuwa nimeelekea msibani na...
24 Reactions
274 Replies
23K Views
Mko poa bila shaka Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi 1. Ndiyo Au 2. Ndio Lipi neno sahihi
2 Reactions
67 Replies
3K Views
This is for you Kasie ... A best friend ever[emoji173][emoji173][emoji173]
6 Reactions
37 Replies
2K Views
The day is finally here shostie. Have loads of fun and more happy days of joy . Let your life be filled with health love strength success and passion. Wish you more years of happiness and...
37 Reactions
535 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…