JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jamvi kuna kamchezo kadogo tukikacheza kwa pamoja kanaweza kuwa kazuri. Pamoja na kuwa ID zetu hazitutambulishi kuwa ni Me au Ke lakini mchezo huu huchezwa kwa kufuata jinsia, Sheria zake ni...
1 Reactions
1K Replies
60K Views
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi. Akaiendea...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Mara kwa mara kumekuwa na mijadala inayohusisha udini sijaelewa nani ana agenda ya kuleta balaa tanzania kama ilivyo nigeria na ivory cost! Nimesoma mjadala uliochangiwa sana humu kuhusu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nafikiri wengi wanakuponda kwa Tafiti zako za ukweli maana zinawagusa sana hasa hili la wanaume wa Dar es Salaam na kwingineko.Wabheja noyi nkoi abhaswahili bhaleshene mihayo minge okotomama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake, MKE: Unataka nini we mpumbavu? MUME: Nani huyo unamtukana? MKE: Kuna mtu hapa...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimeamka Saa 10 usiku na kukuta Giza. Maeneo ya Mwananyamala hakuna Umeme hadi Muda huu. Kulikoni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjambo wote. Poleni wadau wote wa Jamii forums,thread hii ni kwa Walimu wote waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa. Onyo: Usivujishe siri za Jeshi wazi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Karibuni kusherehekea na mwenyekiti wenu siku niliyoliona jua.
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Memba wote wa JF ifikapo mwakani itabidi mlipie ,na itabidi mtoe namba zenu za simu kwanza kisha unapigiwa kwa uhakiki ,na utasmsiwa kineno siri. Kwa maboresho ya uhakika dec 31 2015 memba wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya simba imegeuka kichekesho baada ya kukataa kombe walilolitwaa huko Zenji na badala yake wamewaomba TFF wawape hizo point 3 wazihamishie ligi kuu Tz iliajinasue dhid ya kushuka daraja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Wadau; Usiku wa jana kwangu ulikuwa mtamu sana aisee. Kwa mara ya kwanza nimeota nimetembea na #MissChagga kwa miguu kutoka Kinondoni Ada Estate kupitia Oysterbay mpaka Coco Beach na kurudi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakika mmeniboa na kuniudhi sana nyie wana JF wenzangu. hivi kweli mnalala saa 7 hii na robo Usiku wakati mnajua kuwa tuna mengi ya kujadili? basi bora hata mlale na mniage GENTAMYCINE kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangazo : Polisi mjini (Dar) hapa wanamtafuta mtu mmoja aliyejipiga risasi na kufariki dunia papo hapo baada ya kukimbia na kutokomea kusikojulikana , Zawadi nono itatolowa kwa yeyote atayemuona.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ebu tujaribu hapo Mfano;ningeiona WAKATI INAINGIA ningeifungia. LET'S GO!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata iweje na hata uwe na mapenzi na mkeo na huruma ya kiasi gani, lakini huwezi kumsaidia kubeba mimba mnabisha!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…