Jamaa flani aliingia kinyozini na mtoto wa
miaka
mitano.Yeye akasema anyolewe
kichwa na
ndevu,ALipomaliziwa ,akasema,
"haya,endelea kumnyoa mwanangu,wacha niende ninunue vitu
flani dukani...
Mhaya alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu basi angekurudisha laki yako na kukuongeza laki nyingine.Basi MCHAGA akaona hii fursa ya kujipatia hela...
Haya, mchezo huu ni rahisi sana.
JINSI YA KUSHIRIKI.
*Linganisha umri ulioandikwa katika "comment" ya mwisho na umri wako.
*Kama umri katika "comment" ya mwisho ni mdogo kuliko umri wako...
HR : what is your name?
Mike : MP sir
HR : In full please...
Mike : Michael Phang
HR : your father's name?
Mike : MP sir
HR : what does that mean?
Mike : Melvin Phang
HR : your native...
Just imagine, hufi wala huzeeki! Zote ambazo we unaona ni raha kwako, zinakuwa za Milele, na hata zile unazoona ni shida kwako nazo zinakuwa za Milele incredible.
Hivi ingekuwaje eti.
Maisha ya Uswahilini yana mambo, ukiwa kwenye nyumba za kupanga, unamuona jamaa kashikilia kikopo kidogo kikiwa na Maji anaelekea Toilet.
Unajiuliza hayo maji kwenye kikopo kidogo kinatosha...
Mwenge ulipofika kijiiji cha Chamakinchanga Mtwara ikawa hivi.
Mkuu wa Msafara: Sasa tunamkaribisha Mwenyekiti wa kijiji Ndugu Nachinunku apande jukwaani kutoa salamu za mwenge.
Mwenyekiti: Hapo...
Wapishi walikuwa wanaandaa chakula katika usafi wa hali ya juu.
walikuwa na masihara ya maneno na kuongea chochote.
Jamaa alikuwa kabanwa na ushuzi,
Mpishi mwenzake alikuwa amepanga maandazi...
Daaah!!moyo wangu waniuma sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita...
Natumia nafasi hii kuwapongeza wote kwa kuvuka Mwaka 2014 na kuingia Mwaka 2015.
Nijambo la kumshuru Mungu sanaa,Mungu atupe Amani,Upendo,Uvumilivu,Furaha na kila lililo jema machoni...
Jamanii nipo Mpanda mjini yaani Mkoani Katavi.
Lakini sioni sehemu nzuri palipochangamka ambako kuna nyama choma na wasichana wazuri wa kuhudumia naomba nwenyeji anielekeze anayepajua.
Dingi bahili noma..
MTOTO: mama nimemwomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele..!
MAMA; unabahati mwanangu ungemwomba hela ya whitedent angekung'oa meno..! Na ubahili wake mimi nilimuomba hela...
Wapendwa JF! Asalam Aleykum... Bwana Asifiwe!Kuna Rafiki yangu anafunga pingu za Maisha mwezi huu wa sita. Anahitaji shairi! Nisaidieni kwa hilo plz!:help:
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu.
Kufika huko akakuta kuna jehanamu
tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua
kuzunguka zunguka ili aweze kuipata
jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi...