Umoja wa watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania, umemuomba Mfalme wa Mitandao ya Kijamii Tanzania, Ndugu. William John Samwel Malecela a.k.a Lemutuz...
Hili swali ni kwa wote humu KE na ME, ktk hawa wasanii wa bongo fleva na bongo muvi ni yupi ambae umekuwa ukitamani uje upate ka nafasi hata kwa kwa cku moja tu kubinuka nae kwny 6×6, nikija kwa...
Msosimwema. Na wale mnaojifungia ofisini mmeaga mnaenda lunch nanyi mchanamwema bilakuwasahau walemabosi wanaofunga mlango MKUU wakiandika tumeenda lunch huku ndani kunamkewamtu Ana ULA shubiri...
Iwe bojo, nitumie message ushinde mihela.. heheheheee!! (Kwa lafudhi ya kihaya-sauti isiyo na shida!!)
Habari zilizo mujini ni kwamba Jay millions ni pesa zetu za Escrow ambazo J-Ruge anazichezea...
Copy and Paste .......!!!
Za wikiend Wakuu.
Leo nasikia Kuna mech ya mashehe na maaskofu lengo la mechi hii ni kudumisha Amani ya nchi hii.
SWALI langu ni lini UKAWA na CCM watacheza...
Salaam wote.
Jamani hivi kwa mfano Jamii forums ingekuwa lile Jumba letu la Big Brother kule Bondeni Kwa Tata Madiba a.k.a Mandela.
Kisha jinsi Members wote humu ndiyo tungekuwa washiriki...
Kuna mahawara wa prof uchwara. Mwizi, muongo, arrogant waliuaminisha ulimwengu kuwa prof. Wao hawezi kujiuzulu kwa kuwa akijizulu nchi itatikisika, umeme utakatika nchi nzima.
Kwa hiyo basi...
Inbox ya mdada:
1. I love u dear (Juma.)
2.Nikutoe out Leo? (John.)
3.Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine (Mwambi)
4.Sweetie! usisahau Trip ya Bagamoyo, uniambie nikupitie wapi...
Kwa taarifa Mohamed Amin 'MO' ndiye mwandishi pekee wa habari aliyetoa ukweli kuhusu njaa ilivyokuwa inawaua watu Ethiopia. Katika miaka ya 1980s kulikuwa na njaa kubwa iliyowaua waethiopia zaidi...