Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila...
Wakuu!
habarini za mida hii?
Kwa moyo wa ukunjufu kabisa..
Naombeni tuwe na umoja na upendo tena uzidi ule wa mwanzo..
Tofauti zetu tuzitupe kule..
Tuliowakwaza kwa njia yoyote ile twaombeni...
Wakuu habarini jamani,
Baada ya kujipanga mwaka mzima , nikaamua kutumia kajibonasi kangu kufanya ziara mlimani city. Huwa napitaga tu nikitoka Mwenge kwenda Ubungo. Sijawahi kuingia.
Basi bwana...
👉ukisikia mpenz wako anakuita baby ujue kuna mkubwa wako"!!!
👉Sio kila anayekwambia I love anakupenda wengine wanajifunza kingereza.
👉Mke Mwema Anatoka Kwa MUNGU,mume...
Baba anamuuliza mtoto wake wa kiume:
Baba: Ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani?
Mtoto: Mimi napenda sana Udaktari!!.
Baba: Kwanini?
Mtoto: Kwa sababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa...
Mapenzi ni kikohozi kuyaficha ni vigumu sana. Nimetokea kumpenda mwanadada mtangazaji wa BBC dada Zuhura Yunusi,nimefikia hatua ikifika saa tatu usiku nikiwa mbali na gheto inanibidi nikimbie...
Emmanuel Michaelkm
TUCHEKE NAYE BASI KWA LEO TU
Kuna kichaa mmoja alitoroka Mirembe hosipital alipofika nyumbani akampigia nesi na mazungumzo yakawa hivi:
KICHAA:Halloo,vipi naongea na nessi...
Wakuu,
Ni kwanini kila mtoto akimuuliza mzazi wake alikua akipata marks ngapi darasani lazima mzazi atasema alipataga marks 100.
Je wazazi wetu walikua na akili sana au mitihani yao ilikua...
Mambo vip wanaume wenzangu?
Eti mfano kuna mrembo mmekua mkiwasiliana mara kwa mara kama rafiki wa kawaida, ikaja ikatokea ukamtamani na ukampiga sound ila jibu lake yeye anakuambia tu uache...
Baba anatembea na house girl, housegirl anatembea na houseboy. Houseboy anatembea na mtoto wa kwanza wa baba. Mwisho wa siku housegirl anapata homa anakwenda hospital vipimo vikaonyesha ni...
Utafiti unaonesha watanzania wengi wanalala store. Wengi chumbani kuna kabati, tv, jiko la gesi au mchina , vyombo, vyakula, mboga, nguo, meza, makochi. Kihalisia chumba cha.kulala kinaitaji...
Kila picha ni hatari kabisa unaweza zani upo venezuela , ama jomeka lakini ni bongo hatari sana ila nahisi sio wahusika ila siwezi hukumu labda ni raslimali zetu.
Wasalaam ndugu zangu,
La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Mwisho wa mwaka huu nimeanzisha kampeni mpya humu JF inaitwa #TAJAUMRIWAKO.
Lengo langu likiwa siyo kuvuruga bali tu kujenga...
Mwizi mmoja baada ya kuchezea kichapo kikali akajifanya amekufa. Watu wakataka kumchoma moto. Hakukuwa na majani ya kuchomea, jamaa mmoja akaita.. "Oyaa leteni majaniii" mwizi akajibu "Temba...
Ndugu Watanzania leo nia mgeni ameniambia amezaliwa mwaka 2070 sayansi ipo mbele sana hivyo watu wa New Jerusalem city the world Super Power wameweza kutengeneza machine ya kurudi siku za...
Siku moja Baba alinikuta nampukuchulia mahindi kuku wangu ambae bibi alinipa nilipoenda kumtembelea kijijini, Baba akaniuliza huyo kuku niwanani? nikamjibu wa kwangu, akaniuliza mwanangu...