JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Maalum kwa wale wapenda lift?????? .... Huu ni waraka wangu kwako wewe mdada ninaekupaga lifti asubuhi. Nimevumilia sana mpaka nimechoka aisee maana imekua ni kero sana. Toka tuanze biashara ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawaza tu na kabaridi hiki mke wangu mtarajiwa nisiyemjua inawezekana labda anakunjwa sasa hivi Akili za usiku hizi
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Hello wapendwa Ni mara nyingine tena Babuu kapata kuonekana tena mwaka huu Mungu amemvusha na ameuona mwaka mwingine tena nami sina sababu ya kufurahia na kuenjoy pamoja nae babu Asprin na...
2 Reactions
156 Replies
11K Views
A Pastor keeps chickens on the church premises… One evening a cock went missing. In church the next day, the Pastor asked: "Who HAS a cock?" All the MEN got up… "No, I mean who has SEEN a...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jamvini Hivi kuombwa sana pesa ni Dalili ya nini? Mie ni mtanzania mwenye kipato cha chini tu ila ni madhifu unionapo, Nashindwa kuielewa hii hali kwa maana sasa inapoelekea inazidi hali...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wasichana wengi wa Dar wanatumia majina feki na hasa wakiwa Mlimani City au beach hata Wanyakyusa wanaoitwa kina Atupakisye hutumia majina yafuatayo: 1. Lisa 2. Doreen 3. Princilla 4. Candy 5...
2 Reactions
74 Replies
10K Views
Hivi ni lini watu wataanza kutoa ushauri wa kifedha na kuacha kutoa ushauri wa maneno matupu?? Una kuta mtu anatatizo la kifedha bado wewe unampa ushauri wa maneno, halafu bado unakua...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Lagos is a land of opportunities. A lot of people come to the city with nothing but eventually rise to the top. The road to success is a different one for different people but in Lagos there are...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Wale Mnaopenda kupima HIV. kila baada ya Miezi 3 Msikate Tamaah Ipo siku mtafanikiwa kupata mnachokitafuta.. Weekend Njema [emoji12] [emoji13] [emoji14]
0 Reactions
6 Replies
855 Views
Jamanii wana jf hususan wa MMU,naomba niwatakie ucku mwema woootee mlale unono, kwa wale watakao lala muda si mrefu kama mimi[emoji7] na wale wa bata wkend hii pia mu-enjoy salama... Nawapenda...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni Tanzania pekee mechi za simba na yanga zinaonyeshwa live lakini bunge linakua "recorded"
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Yap! kama umewahi kusafiri route ndefu kidogo ndani ya nchi yetu kuna vile vituo vya dakika 10. dar to mtwara & lindi- ni pale nangurukuru. dar to dodoma, singida, tabora and lake zone- ni...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
  • Closed
Habari wadau, Kuna Huu wimbo mpya wa Nikki wa Pili Baba Salehe nimeusikiliza mashahiri yake naona Kama ni Dongo kwa mzee wa mabebe Le big show kutokana na baadhi ya mistari kumlenga moja kwa...
1 Reactions
183 Replies
30K Views
Ngoja basi niwakumbushe kitu... kipindi kile cha miaka ya late 90's na early 2000's basi ilikuwa ukimtongoza mdada unakuta anaanza kujilambalamba vidole huku akiwa anacheesha kidole gumba cha...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
:oops::oops::oops:;):(Habarini wakuu wangu Hakuna kitu kizuri kama kukumbuka siku ya kuzaliwa au kujiona fahari upo hapa duniani ni kitu chema cha kukumbuka na kufurahia nasi kwa pamoja...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukikutana naye lazima utimue mbio. https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=664934210316106&id=634292483380279
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bomoa Bomoa watakulini?
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…