Mpendwa Asprin, Muungwana Asprin, Mwenyeji wetu wa JF... Siku njema!1Be the first to reply....
Wahindi na Waarabu
Nakutaka radhi sheikh....Mpendwa Asprin, Muungwana Asprin, Mwenyeji wetu wa JF... Siku njema!1
Tafadhali usijumuishe au kujumlisha.. Kwa heshima naomba utuwie radhi bhana.. Just be FAIR !!!
Tunalisubiri Apology!!
Sasa wahind na waarabu kuna kabila km hilo hapa tz??tusiogopane jamn maana jana nimeshuhudia mtu kuchinjwa harafu kuwekwa kwenye mashine ya kusaga,tujuzane maana wengine tunatak kuoa
The Great ASPRIN.... kwa heshima na TAADHIMA UMEKUBALIKA "Kwa radhi zote"Nakutaka radhi sheikh....
Hata hivyo niliyoyataja si makabila kama alivyotaka mleta mada....
Lengo lilikuwa kucrash thread zenye harufu ya kikabila.
Naamini apology imepokelewa kiroho safeyyyy...........
Mara nyingi inakuwa hulka ya Muovu inapochanganyika na misongo mizito isiyotatulika!! Yamforce mtu kuchukuwa action!!Roho mbaya na ukatili ni tabia binafsi, haziusihani na Kabila fulani.