Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa π?
Vipi wanawake wenye...
Maybe you should talk to someone, clear the air, rekindle lost time, find that sweet spot in the midst of all the chaos. I know, I know, therapy comes in a variety of demeanors and because of that...
Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk.
Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika...
Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana.
Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree
Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe...
Mimi bwana enzi hizo nikiwa nimehamia Dar nikiwa naishi kwa kaka yangu kukawa na shemeji yangu nae ana mdogo wake wa kike tukawa tunaishi nyumba moja.
Mimi geto langu lilikua banda la uani na la...
Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya...
Kama mbwai na iwe mbwai. Mara nyingi nimesoma kuhusu wanaume wa dar na vituko vyao. Nimejaribu kuangalia wake zao wakoje. mmmh mie nimegundua haya, sijui wewe umegundua nini.....
Wanaagizi...
Wakuu huu ni mwaka mwingine wa kufosi.
Lazma kieleweke.
Tumegeane hizi maujanja.
Notes zinachukuliwa kama kawaida na hakuna ile kitu mtu atafanya!
πππ