JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wasee wa nozen Highland a. k. a half London mukuje huku tupige mishe mimi natokea kiraracha kwa mwenyekiti wa parole ww wap????
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Jamani waungwana! Kwa wale mlioko Mwanza; kama ikiwezekana tufanye mpango tuonane viwanja vya Nyamhongoro ambako maonesho mbalimbali yanaendelea. Kwa jana nilienda na kujifunza mengi lakini kubwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Masai mmoja alikaa kivulini ghafla panya akaingia mdomoni hadi tumboni ikabidi masai apige simu kwa dokta wa kimasai maongezi yakawa hivi! Masai"dokita wakati mekaa hapa panya kasama mdomoni hadi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya Wanawake wameSUGGEST Kwamba kuna Wanaume wanahitaji kuvaa BADGE ya LENA (Learners) kwenye Zipu kwa sababu Hawajui Mapenzi na hawataki waambiwe hawajui wala hawako tayari wafundishwe...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani folks, mi uwa namkubali sana nyani ngabu kwa ngeli yake kwani huwa inanibidi nitafute dictionary. Hivi monkey ngabu unafanya kazi pale british embasy au mwalimu wa internatonal school au we...
0 Reactions
277 Replies
20K Views
Zuzu alioa mke mzuri sana mpaka watu wakawa wanateta namna Zuzu alivyompata mrembo huyo. Mara baada ya miezi minne na nusu mke wa Zuzu akajifungua mtoto wa kiume. Zuzu akazusha kweli: Mume...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu jamani Jf, Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana. Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika. Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji. Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya. Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo kati...
8 Reactions
3 Replies
3K Views
Kitoweo
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kila mtu sasa hivi macho mbele, macho kodo anatafuta'Somebody material'ajibanze ili apewe nafasi ya kuwa aidha Raisi wa Familia(MME) au ateuliwe kuwa Waziri Mkuu wa Familia(MKE) Tumia Macho...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Tie
Tujikumbushe kufunga tie!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji1]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Six packs kujichosha tu vijana mmeskia? tafuteni Pesa kwanza! Tengeneza six packs kwa Afya yako na sio kuwavutia Warembo. Warembo wa skuizi Majipu wanapenda watu wazima wenyewe wanawaita SPONSOR...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ombi langu kwenu. Mnaonaje kama tukiamua kufahamiana kwa sura zetu? Maana inawezekana tunaishi mtaa mmoja, tunasoma shule/chuo kimoja, tunapanda daladala moja, ni ndugu, ni marafiki na labda...
6 Reactions
78 Replies
7K Views
Tumetafakari sana,tumepekecha pekecha sana,tumebishana sana lakini hatimae familia yetu imeamua kufanya maamuzi magumu,tumeamua kuiunga mkono serikali yetu tukufu, tumeamua kuhamia Dodoma,wakazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…