Zile enzi za A-level, nimerudi nyumbani msure hata likizo huwezi kukaa tu lazima uwende tuition sawa baba. Wakati huo ndio nimeanza kuwa na feelings na vijana, kuna handsome boy ndio ameanza...
Unajua kwa nini vijana wa dar wanapo kuja mikoani huwa ni vigumu sana kupata wasicha.. Na vijana wa mikoani wakifika dar huopoa wadada wa pale kiuraiiiini....? Ipo hivi
Ni mala chache saana kwa...
Natumain sisi sote ni wazima na tupo juu ya viti virefu tukihakikisha watoto wanapata elimu iliyo bora, barabara zikijengwa kwa viwango na dada, wake na mama zetu wanapoenda hospitali wanapata...
Hivi kuna kinywaji chenye kilevi ambacho hakina harufu? Iko hivi, Kwa nini mtu akinywa kinywaji Baridi aka Pombe harufu inatawala kinywa ikiwezekana muda wa siku tatu mfululizo hata mtu akipiga...
Ukimpata mpenzi aliye ubavu wako wa kweli utajua tu! Yaani hakusumbui, anajua nini unataka kwa wakati gani, anajua wapi kwa kulia na wapi pa kucheka, mkikosana mnasolve kwa ulainiii bila mikelele...
Democrats: HAHAHAHAHAHA
Trump supporters: I don’t understand, he was going to win
GOP: We are so unbelievably fucked
Democrats: HAHAHAHAHAHA
Clinton: *Get’s on phone with Trump* We did it, we...
*Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu ..*
*Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii.*
*Basi kuna muda aliingiza mkono...
Hii copy pasting.....
Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu...
Asante wana jamvi mimi ni kijana mwenye upeo mkubwa wa kufikiri katika mambo mbali mbali ni mtu nilio jaliwa sana na kupewa akili za kutosha katika kupanga mipango na ku boresha mawazo na fikra za...
Waliniambia njia rahisi ya kumpata nick minaji nijiunge
facebook nikajiunga nikatuma friend Request
kilichonishangaza mda huo huo akaacept nikajiona
mimi ndio mimi.. Nikamfuata inbox nikamwambia...
....Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media...
[emoji121]
Wakuu
Leo nimegundua kumbe ile kozi ya *sp_319 (shato_pori)* niliyoipiga kwa vitendo kutoka mabibo_hostel hadi mlimani_main_campus nikiwa chuoni ina umuhimu mkubwa sana
Hasa katika...
Wakuu hashima zenu!!
Hivi wakuu sisi wanaume hua tuna nini!! Yaani nina marafiki na hua same timu hia najichanganya sana vijiweni kama nakuwa sijaenda kazini sasa katika kupiga stori za hapa na...
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja aliekuwa peku na hajavaa nguo yoyote( yaani alikuwa uchi) alikuwa amesimama kituoni!!!
Abiria!!konda hii daladala inaenda wapi??
Konda posta!!
Abiria...
Unamaliza kufanya mapenzi na demu ghetto kwako anakuomba chupi yake iliyoanguka upande wa pili wa kitanda. Unaangalia unaona chupi mbili za rangi tofauti, na chupi yake huikumbuki. [emoji87]...
```Mdada alienda super-market kununua kuku, bahati mbaya kwenye frij kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji akamtoa akamuweka kwenye mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza...
Nani kasema kiswahili rahisi???? Hebu jaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kutumia NDIO au HAPANA
1)............. mimi ni chizi
2)............. mimi ni bwege
3)............mimi sina akili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.